Hata wakisiasa napo tumefeli tunatumia nguvu badala ya akili kiasi kwamba mpaka tunadharaulikaZaidi ya Ujasusi wa Kisiasa Hakuna Ujasusi mwingine tunaweza.
Lazma utakuwa shabiki wa simba ww,Km ligi ya Tanzania imepanda basi jua africa mpira hamna
Hii takataka inayochezwa tanzania ndio mpira upande
Watanzania tunapinga kila kituKm ligi ya Tanzania imepanda basi jua africa mpira hamna
Hii takataka inayochezwa tanzania ndio mpira upande
Ghana na senegal ligi zao hazina mpira wa kutisha sana ata naijeria wepesi tuHii kusema ligi ya Tanzania ni ligi bora kwa Afrika ni kwa vigezo gani?
Je, nikiorodhesha nchi 9 tu zipi tumezipita? Misri, Moroko, Afrika kusini, Senegal, Tunisia, Aljeria, Angola, Ghana, Nigeria.
Vigezo ni kabumbu linalo chezwa na timu zetu, wingi wa watazamaji, au kitu gani?
Ukiangalia ligi za wenzetu unaweza kusema afadhail ya ligi yetuHii kusema ligi ya Tanzania ni ligi bora kwa Afrika ni kwa vigezo gani?