Ujasusi Sebuleni Kwetu

ni limsikia huyo ghailani katika mahojiano na bbc ana tamani kulala mwaka mzima. sijajua hao hao wa america walimfanya nini. inteview yake ililikuwa fupi sana.
 
Hapana chief... hauharibu as long as tunajadili kwa kunoa bongo. Weka hoja mezani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shaka yoyote kwamba, Al-Qaeda ilikuwa inaongozwa na Osama bin Laden! Ni nani huyu Osama bin Laden? Ushahidi wa moja kwa moja unaopatikana kwenye vyanzo vinavyoaminika pamoja na uongozi wa Marekani kukiri (kama alivyofanya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekeni Bibi Hilary Clinton) kwamba al-Qaeda iliundwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na kupewa kiasi cha dola za Marekani bilioni tatu ($ 3bn/-) ili kundi hilo liendeshe vita dhidi ya Urusi (USSR) ya zamani iliyokuwa ikiikalia Afghanistan (rejea: http://www.theinsider.org, news.bbc.co.uk, na http://www.forbes.com).



Kiongozi wa Al-Qaeda alipata mafunzo yake ya kigaidi chini ya usiamizi wa CIA na Marekani ilikuwa inajua malengo ya kuanzishwa kwakwe. Marekani haikuwahi hata siku moja kumtafuta Osama bin Laden, hususan kwa tukio la mashambulizi ya Septemba 11, 2001. Kama walikuwa wanamtafuta, kwanini waliiondoa familia yake nchini Marekani siku mbili tu baada ya kudai kuwa ndiye aliyeishambulia nchi hiyo?

Serikali ya George W. Bush ilifanya mpango ili watu wa ukoo wa Osama bin Laden waondolewe Marekani ili wasibughudhiwe. Machi 28, 2005, gazeti ‘Daily Time’s la Pakistan, likiripoti kutoka Washington DC., Marekani, lilidai kuwa FBI (Shirika la Upelelezi la Marekani) iliwasaidia Wasaudia kuondoka baada ya mashambulizi ya Septemba 11.”

FBI walishiriki kikamilifu kuandaa ndege kwa ajili ya makumi ya raia wa Saudia—wakiwamo ndugu wa Osama bin Laden—baada ya mashambulizi ya kigaidi ya 9/11.”

Taarifa hiyo ilichapishwa pia katika gazeti ‘New York Times’ ,‘The Times’ lilisema nyaraka ilizozipata kutoka serikalini zinaonesha kuwa mawakala wa FBI walizilinda na kuzisindikiza familia mbili za Kisaudia kuondoka Marekani, na Wasaudia wengine waliruhusiwa kuondoka bila hata kupekuliwa au kuhojiwa.

Ndege zilizowabeba raia hao wa Saudi Arabia ziliandaliwa baada ya tukio la Septemba 11 wakati kukiwa na madai kuwa kuna uhusiano na ushirika kati ya Rais George W. Bush na familia ya kifalme ya Saudi Arabia na ile ya bin Laden. Gazeti ‘Edinburgh Evening News’ la Septemba 3, 2003, liliripoti hivi: “Serikali ya Marekani imeruhusu watu wa familia ya Osama bin Laden kupanda ndege na kuondoka Marekani mara baada ya shambulio la Septemba 11, pamoja na kwamba anga lote la Marekani lilikuwa limezuiwa kuruka ndege … hiyo ni pamoja na kuruhusiwa kwa ndugu wa bosi wa Al Qaeda.”

Tukijifunza mambo mengine kuhusu familia ya Bush na familia ya bin Laden huenda tukapata mwanga zaidi katika kujua mambo haya. Je, ni kweli kwamba Bush alimlinda sana Osama bin Laden huku akidai kuwa anamtafuta? Ni kweli kwamba Bush na familia ya Osama walikuwa wabia kibiashara?

Familia ya Bush ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa familia ya bin Laden, au angalau ndivyo ilivyokuwa. Kaka yake Osama, Salem bin Laden, ndiye aliyekuwa karibu zaidi na Bush kibiashara.

Salem ndiye alikuwa msimamizi wa makampuni makubwa zaidi nchini Saudi Arabia yaliyojulikana kama ‘Saudi Binladin Group’ (SBG). Hata baada ya kifo chake kilichotokea Jumapili ya Mei 29, 1988, Salem na George H. Bush walikuwa karibu sana kibiashara. Kampuni yake ilikuwa ikifanya kazi za ujenzi wa barabara, viwanda na nyumba katika maeneo mbalimbali duniani. EDWARD SNOWDEN alidai kwamba "Osama bin Laden" ni mshirika (operative) mtiifu na makini wa CIA kwa muda mrefu sasa. Anaendelea kudadavua kwamba Marekani ilipanga shambuluo la bandia la kumuua Osama kushirikiana na Pakistan Secret service na hili tukio limemkumbatia Osama na kumfanya awe salama zaidi, kwasababu kila mtu ameamini Osama ameuwawa, hivyo hakuna mtu atakayejishughulisha kumsaka.
 


Mmmmmmhhh........
 
Naomba usisahau kunishtua ukileta mwendelezo
 
Naomba usisahau kunishtua ukileta mwendelezo
 
NEXT EPSODE:itakua samahani kwa usumbufu siwezi endelea na hii makala sababu familia ya Ghailani kule zanzibar wameona inawadisturb maisha yao kwahyo basi sitaendelea nayo na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeambiwa nisiendelee.😀😀😀 hii makala nayo haiishi na nilijua tu ukikatisha ile ya kagame basi itafuata hii ya 1998 balozi kulipuliwa halafu nayo itakatishwa next epsode.
 

Mdada una mambo wewe...😀😀😀😀😀😀😀....haya ngoja tusubirie utabiri wako...
 
Dah ina maana ndo basi tena

sent using samsung galaxy s8
 
Something is wrong somewhere!

kila nikijaribu kufungua threads za the bold kupitia app ya JF zinagoma. nimeuninstall app nikadownload tena lakini tatizo bado lipo.

Tatizo hili ni kwa threads zilizoanzishwa na the bold pekee, hususan "the richest man in Africa" na huu mpya wa "ujasusi sebuleni kwetu".

Slim thug sio mtu wa mchezo mchezo!
 
stori nzuri The bold sema itaishia hewani tu kama The richest man in africa
 
The bold Habibu .B. Anga umeifanyia haki hii kesi ya uchunguzi juu ya mlipuko wa kigaidi ktk ubalozi wa Marekani jijini Dar-es-Salaam mwaka 1998. Maana kwa makala hii ktk lugha ya Kiswahili wengi watafahamu watu hawa magaidi wanavyoweza kuishi miongoni mwetu bila kuwashuku kirahisi na kutuletea maafa sebuleni mwetu. Hivyo kupitia makala hii tujifunze kuwa macho na kubaini watu wenye mipango miovu tunaoishi nao mitaani mwetu.
1 UNITED STATES DISTRICT COURT
SOUTHERN DISTRICT OF NEW YORK
2 --------------------------------------------------x
3 UNITED STATES OF AMERICA
4 v. S(7) 98 Cr. 1023
5 USAMA BIN LADEN, et al.,
6 Defendants.
7 --------------------------------------------------x
8
New York, N.Y.
9 February 7, 2001
10:00 a.m.
10
11
12 Before:
13 HON. LEONARD B. SAND,
14 District Judge
1 APPEARANCES
2 MARY JO WHITE
United States Attorney for the
3 Southern District of New York
BY: PATRICK FITZGERALD
4 KENNETH KARAS
PAUL BUTLER
5 Assistant United States Attorneys
6
ANTHONY L. RICCO
7 EDWARD D. WILFORD
CARL J. HERMAN
8 SANDRA A. BABCOCK
Attorneys for defendant Mohamed Sadeek Odeh
9
FREDRICK H. COHN
10 DAVID P. BAUGH
LAURA GASIOROWSKI
11 Attorneys for defendant Mohamed Rashed Daoud Al-'Owhali
12 JEREMY SCHNEIDER
DAVID STERN
13 DAVID RUHNKE
Attorneys for defendant Khalfan Khamis Mohamed
Source : WWW.FINDLAW.COM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…