tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Mi mwenyewe nashangaa moto wa maji sipo wakati ni mdau mzuri sana wa makala zakoAmaaa!! Sitaki kuamini kama jina lako halipo future billionare...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usama ndio nani mkuu?Mimi atakaye ni ambia Al zawahir yule namba mbili wa Usama yuko wapi? Na anafanya nini? Akija na story kuwa hivi vikundi vya kigaidi chanzo chake ni nini, kwa faida ya nani? Basi huyo ndiye ni takaye muamini katika habari za hivi vikundi vya itikadi kali za kiislam . Tusisahau habari ya kuuwawa kwa Usama ndiyo iliyompa kiulaini Obama kipindi cha miaka 4 ya pili katika kuiongoza USA kama rais.
Vikundi vya kigaidi ni zao la CIA kwa maslai ya nchi zao.Mimi atakaye ni ambia Al zawahir yule namba mbili wa Usama yuko wapi? Na anafanya nini? Akija na story kuwa hivi vikundi vya kigaidi chanzo chake ni nini, kwa faida ya nani? Basi huyo ndiye ni takaye muamini katika habari za hivi vikundi vya itikadi kali za kiislam . Tusisahau habari ya kuuwawa kwa Usama ndiyo iliyompa kiulaini Obama kipindi cha miaka 4 ya pili katika kuiongoza USA kama rais.
Usama ndio nani mkuu?
Sijaelewa hii ni lugha gani? Ama ni mpya hapa duniani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unakunywa pombe kali?