Ujasiriamali

Baba mtata

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
280
40
Heshima wakuu
Naomba mwenye uelewa kuhusu masuala ya ujasiriamali mana nasikia kila siku vijana tuwe wajasiriamali lakini sijapata elimu kuhusu ujasiriamali kwahiyo mwenye uelewa hata kwa maana tu ya neno ujasiriamali na sifa zake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom