book11
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 700
- 390
Habari wana jf,Leo nakuletea utengenezaji wa dawa ya kuondoa madoa kwenye vyoo{stain remover}
Vyoo vingi huwa na madoa yanayoleta uchafu wa rangi za njano ,kijani.Huwa vigumu kuondoa kwa kusafisha kwa kutumia aina nyingine ya dawa.
Malighafi zake
1.hydrolic acid
2.Sulphonic acid
3.Maji
JINSI YA KUTENGENEZA
Andaa chombo chako [tanki au kingine kikubwa] katika hali ya usafi.
Anza kuweka maji lita 35,kisha weka sulphonic acid lita 3,kisha hydrolic acid lita 3,koroga taratibu ,kwa uangalifu kwa muda wa dakika 15 baada ya apo itakuwa tayari kwa matumizi weka kwenye vifungashio ukauze
MATUMIZI
Tumia kama ilivyo ,mwagia sehemu yenye uchafu na uiache kwa muda wa dakika kumi 10 ndipo usafishe kwa brush huku ukimwaga maji