dada ni biashara gani isiyo na jina chini ya jua? Taja hiyo biashara hadharani kisha watu waijue, walio wako utawapata tu, hizi biashara za kujificha hazina nafasi nyakati hizi.Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea kichwani kuwa ajira ya ofisin tu ndo itakupa maisha mazuri. La Hasha! Watanzania tuamke sasa na tujifunze kujiajiri wenyewe. Mimi nimejiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo sana na kwa muda mfupi tu nimeshapata mafanikio katika maisha yangu. Napata muda wa kukaa na familia yangu, najipangia muda wa kuanza kufanya kazi na naishi maisha ya uhuru bila kusumbuliwa na mtu. Nawahimiza sana kina mama kuanza biashara hii kwani mara nyingi wao ndio wanaohamgaika sana kuhakikisha kuwa mwisho wa siku familia ipo kwenye hali nzuri. Kina baba pia mnaruhusiwa.N :B kwa wale ambo wameajiriwa na hawataki kuacha kazi zao unaweza kufanya biashara hii kwa part time. Kwa wale wa Arusha na Moshi nitafute ili nikupe siri ya mafanikio yangu. 0753 38 22 00
hahahaaaaa,aka biashara ya mtandao!ukiona mtu anakuitia biashara vichochoroni bac ujue itakuwa Forever...
Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea kichwani kuwa ajira ya ofisin tu ndo itakupa maisha mazuri. La Hasha! Watanzania tuamke sasa na tujifunze kujiajiri wenyewe. Mimi nimejiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo sana na kwa muda mfupi tu nimeshapata mafanikio katika maisha yangu. Napata muda wa kukaa na familia yangu, najipangia muda wa kuanza kufanya kazi na naishi maisha ya uhuru bila kusumbuliwa na mtu. Nawahimiza sana kina mama kuanza biashara hii kwani mara nyingi wao ndio wanaohamgaika sana kuhakikisha kuwa mwisho wa siku familia ipo kwenye hali nzuri. Kina baba pia mnaruhusiwa.
N :B kwa wale ambo wameajiriwa na hawataki kuacha kazi zao unaweza kufanya biashara hii kwa part time. Kwa wale wa Arusha na Moshi nitafute ili nikupe siri ya mafanikio yangu.
0753 38 22 00

dada ni biashara gani isiyo na jina chini ya jua? Taja hiyo biashara hadharani kisha watu waijue, walio wako utawapata tu, hizi biashara za kujificha hazina nafasi nyakati hizi.
mkuu malila ntakutafuta kuhusu biashara ya miti later this year.nimefuatilia sana michango yako..MICHANGO YAKO IMEBADILISHA MAISHA YANGU.
Hapo kwenye red, kuuza Forever Living lini ikawa siri ya Mafanikioa? acha uzindiki
ukiona mtu anakuitia biashara vichochoroni bac ujue itakuwa Forever...
Asante,
Karibu ujiunge nasi upate faida ya kuunganisha nguvu ktk huu uwekezaji. May/june tunaanza kuandaa miche ya pines ya msimu ujao, sasa hivi tunaotesha na september tunaotesha miche ya saligna/acrocarpus. Nimekupa wazi ili ujue mapema kuwa usipokuwa na miche ya kwako utaumia sana kama utanunua kwa watu.