Ujasiriamali: Nataka kufuga Bundi na Fisi

Ujasiriamali: Nataka kufuga Bundi na Fisi

Tena utapata soko sana.......kuna uhaba wa bundi siku hizi......tumia mbegu ya bhunu bhundi mkuu.........mpaka mayai 60 watataga...........

pia nasikia kuna soko zuri kule gamboshi na bagamoyo
 
Utaalamu wa kufuga fisi omba kwa Kinana alikuwa nao kwenye ziara zake
 
Nenda viwanja Wa Gymkhana Arusha kuna mzungu mmoja anawafuga siku nyingi tu atakupa ushauri
 
hilo nalo nitalipa kipaumbele

Teh teh ukimaliza hapo Fanya mpango kama Kondakta simbachawene uukwae uwaziri Wa nishati ,deal za Escorow nje nje..dah Mkuu ndoto yako inatimia njia nyeupe kabisa
 
Wakuu,

Mwenzenu nimeamua kuingia katika ufugaji kama moja ya njia ya kuongeza kipato changu, na nitaanza na ufugaji wa FISI na BUNDI, nitakua nikiwauza abroad na kupata foreign currency ya kutosha, kesho nitaenda wizara ya maliasili na utalii kupata kibali.
Kikubwa naombeni ushauri na nasaha katika ufugaji huu.

yaani hilo jina lako linaendana na mambo yako na yo ndo hivyo hivyo ka K4Life
 
Back
Top Bottom