Ujasiriamali: Nataka kufuga Bundi na Fisi

Ujasiriamali: Nataka kufuga Bundi na Fisi

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Wakuu,

Mwenzenu nimeamua kuingia katika ufugaji kama moja ya njia ya kuongeza kipato changu, na nitaanza na ufugaji wa FISI na BUNDI, nitakua nikiwauza abroad na kupata foreign currency ya kutosha, kesho nitaenda wizara ya maliasili na utalii kupata kibali.

Kikubwa naombeni ushauri na nasaha katika ufugaji huu.
 
wakuu mwenzenu nimeamua kuingia katika ufugaji kama moja ya njia ya kuongeza kipato changu, na nitaanza na ufugaji wa FISI na BUNDI, nitakua nikiwauza abroad na kupata foreign currency ya kutosha, kesho nitaenda wizara ya maliasili na utalii kupata kibali, kikubwa naombeni ushauri na nasaha katika ufugaji huu.

Tanzania tunaongoza kwa kuamini ushirikina, we kweli kilaza 4 life.
 
We jamaa bhana 😂😂 haya wale simba wa mikumi vipi? Mlifanikiwa kubadili tairi?
 
wakuu mwenzenu nimeamua kuingia katika ufugaji kama moja ya njia ya kuongeza kipato changu, na nitaanza na ufugaji wa FISI na BUNDI, nitakua nikiwauza abroad na kupata foreign currency ya kutosha, kesho nitaenda wizara ya maliasili na utalii kupata kibali, kikubwa naombeni ushauri na nasaha katika ufugaji huu.

Mtafute Gwajima akupige neno, naona mapepo yamekuzidi
 
Hahahaaa wateja wako wa fisi watakuwa CCM maana kuna kipindi nilikuwa namuona Kinana akizunguka nao kwenye mikutano sasa hivi siwaoni,inaonekana wana uhaba.
 
Tanzania tunaongoza kwa kuamini ushirikina, we kweli kilaza 4 life.

Kilaza ni wewe! Ushirikina umetoka wapi hapa? Amesema anataka kufuga fisi na bundi sasa mambo ya kishirikina yametoka wapi? Au wewe ndo mshirikina unayejua kazi ya viumbe hao? Hebu mwache afuge kwa amani na atauza sana maana soko kubwa lipo ccm.
 
Tena utapata soko sana.......kuna uhaba wa bundi siku hizi......tumia mbegu ya bhunu bhundi mkuu.........mpaka mayai 60 watataga...........
 
Nenda Shinyanga vijijini sehemu moja inaitwa mwakitolyo kuna jamaa anafuga fisi anaitwa lukondya mabiti atakupa ABC za huo uwekezaji au kijiji kimoja kinaitwa Usanda hukohuko shy vijijini kuna jamaa anafuga fisi
 
Hahahaaa wateja wako wa fisi watakuwa CCM maana kuna kipindi nilikuwa namuona Kinana akizunguka nao kwenye mikutano sasa hivi siwaoni,inaonekana wana uhaba.

na hao ndio watakua wateja wangu wa kwanza
 
kilaza ni wewe! Ushirikina umetoka wapi hapa? Amesema anataka kufuga fisi na bundi sasa mambo ya kishirikina yametoka wapi? Au wewe ndo mshirikina unayejua kazi ya viumbe hao? Hebu mwache afuge kwa amani na atauza sana maana soko kubwa lipo ccm.

hongera kwa kumuelewesha huyo jamaa
 
Back
Top Bottom