Hitaji la kwanza ni fikla zako,kua na uwezo wa kufikili na kubuni biashara ya tofauti au yenye vionjo.ukifikiliacho kukitenda ndicho utakachofanya,ukiwa na pesa bila wazo sahihi pesa zaweza kukuishia kwa kufanya usichokijua na kikaishia njiani
kweli kabisaUmeongea vizuri mtoa mada. nilitaka tu kuongezea pia sio lazima uwe na mawazo mapya au biashara mpya kwa sababu biashara mpya ni ngumu kuzipata chakufanya ni kujaribu kufanya hizi hizi wenzetu wanazofanya kwa njia ambayo ni bora zaidi ya wengine ili kuwavutia wateja upande wako kwani kama mnavyojua Genious sio kwamba hawafanyi makosa ila wanayarekebisha makosa yao haraka kabla yeyote hajayabaini. Hivyo ufanyapo kitu ambacho wengi mnafanya jaribu kuwa bora zaidi ya wengine na kufanya mambo Unique kidogo utaona tofauti yako na wao.