princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,194
- 2,063
Acha urongo.... Yani camera bei ya YUTONG....Una ambiwa hiyo camera unayo ona hapo unanunua ni kuanzia 200M
Hii pekee inauzwa milioni 98. Makadirio bila gharama ya kuisafirisha kwenda nchi unayoishi.Acha urongo.... Yani camera bei ya YUTONG....
!??
Acha urongo.... Yani camera bei ya YUTONG....
!??
Hassebald H6d-400Hii pekee inauzwa milioni 98. Makadirio bila gharama ya kuisafirisha kwenda nchi unayoishi.
View attachment 1160315
Japo hiyo mil200 aliyotaja sina uhakika nayo huwenda kazingatia pia hicho kifaa kilicho ibeba ndio ikaleta jumla hiyo. Ngoja tutafiti zaidi.
Bei yake sawa na kiinua mgongo cha mtumishi wa ummaHassebald H6d-400
Bei yake sawa na kiinua mgongo cha mtumishi wa umma
Itaje!Bei ya yutong unaijua au unaisikia???
Tena aliye tumika si chini ya 40yrs, akistaafu na mshahara mnonoBei yake sawa na kiinua mgongo cha mtumishi wa umma
Utashangaa na kupingaAcha urongo.... Yani camera bei ya YUTONG....
!??
zipo camera hadi 100M za kitanzania mfano halisi tafuta camera inaitwa red dragon zipo za bei tofauti ila pia ipo ya hiyo gharama 100MAcha urongo.... Yani camera bei ya YUTONG....
!??