Ujasiri ndio utajiri wako

Mkuu mtoto tajiri sorry yamkini nimekuabia mood yako. Sitaweka utani tena naomba unijibu maswali niliyokuuliza.
 

kuhusu Noah ni bora ununue mpya sababu body zake zinawahi kuchoka ku
liko engine,kuhusu hizo Dungu za Toyota dyner wala sikushauri mkuu haziwezi kuhimili mikiki mikii kwa nyingi zinakuwa na double tairi huku nyuma halafu tairi zenyewe nyingi zinakuwa ndogo na pia bodi yake haijakaa vizuri,kuhusu bei yakununulia bodi yaani hapa namaanisha gari inakuwa inatembea lkn ina matatizo ya engine bei isivuke 5ml hata kwa viboko gari isivuke hapo na usipokuwa una haraka hata chini ya hapo unapata ili kwamba unapoifanyia marekebisho usizidi 11ml,zingine zio hadi ununue engine mpya unaweza ukanunua half engine ukaweka ukapumzika,kumbuka wengine wanauza hiace kwasababu hawaiwezi biashara hii kwahiyo hapo unawakadiria tu!
 

Nashukuru kwa ushauri wako. Nitakutafuta nitakapokuwa na maswali zaidi.
 

Uko wapi mkuu, me nataka kuanza biashara ya mkaa ila nasikia changamoto ni nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…