Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,885
- 10,111
Acha dharau,wewe mwenye uliesoma mbona huna jipya.Sawa nimekuelewa mkuu, ingawa hujajibu chochote, kuna watu huwa tuna vipaji vya kupima mawazo ya mtu na kutambua uwezo wake kiakili kwa njia tatu; Argumentation, Analyzation & Reaction. You Have Argued With Tired Mind, You Have Analyzed My Request With Ruined Brain And You Have Reacted As A Dead Mind.
Nimepata jibu kwanini unaiweza biashara ya magari, itakuwa wewe mwenyewe ni fundi magari kwani walio wengi hupelekwa garage baada ya kufeli darasa la 7.
Tajiri mtoto umelizwa swal apo juu lakini hukujibu choxhote,vipi unapatikana mkoa gani?kwani mikoa mingine kweli biashara hii bado changa anyway mm nipo Arusha,
kwanza kuna tetesi kuwa ili kupata daladala nzuri(nazungumzia hiace) ununue bodi safi na engine mpya nzuri separately ndo uunganishe frm there you are in a good position to start running your business lakini on top of that naskia ili kufanikiwa kwenye biashara hii,
usave atleast 10%-15% ya kipato kinachopatikana either kwa siku au wiki kutoka kwa muajiriwa wako ili isikuumize sana kichwa je kwa uzoefu wako waweza shauri nn?natanguliza shukrani
Unajua huwa sipendi kulitaja hovyo hili jina "Mungu"
Uko sahihi maana imeandikwa uslitaje bure jina la ....
Acha dharau,wewe mwenye uliesoma mbona huna jipya.
Presentation yako yenyewe mbaya kweli,yaani unashindwa hata kuandika unachotaka kushauriwa?
Halafu unaleta dharau kwa Std 7.Nyie ndio mkisoma mnaona kama ndio kila kitu na mnashindwa ku badilika katika maisha halisi.
We hadi unanunua Carry mbili halafu unashindwa ku manage,wakati huo huo kuna watu juu na elim za kawaida wanakupa dondo za maana.Elima ya Darasani ni tofauti na Elim ya maisha.Jifunze acha maisha ya kusadikika.
Pili unatia aibu hao wasomi wenzio kama kweli,msomi wewe unaweza kuweka hoja kingumbaru namna hii.
Acha dharau kwa wenzio,heshim utu wa mwenzio na daraja la mwenzio,kwakuwa hujui mungu moyoni kampa mtu huyo upeo gani na kipaji gani.Nyie ndio mnafanya watembea na vibahasha posta kuwa weeengi,na mnafanya wenzenu wakose ajira wakimaliza masomo kwa kuambiwa lazima wawe na uzoefu wa miaka mitano kwa Umbumbu huu wa kushindwa kujieleza kisha kujiita wasomi.
Na kwa muonekano tu ni kwamba hakuna biashara nyepesi wala ngum utakayoiweza.Na unaiga nani kafanya na mie nifanye.
Kwa ku declare interest ninafanya biashara hiyo ya Carry na kama mwanaume ni changamoto za kawaida sana ambazo kubwa ni matengenezo.Na kwa kukusaidia ni kwamba sasahivi watu wanatoka kwenye Carry wanaingia kwenye liteace au Townace pick up za tani moja,hesabu ya siku ni 25,000 -30,000 wakati carry ni 20,000 kwa siku.
Jina la ....... wako.
Wakuu Tamalisa na GITWA, watu wanashuka nondo za atari za bussiness plan nyie mkalia tu stori eti jina la........Hahaa haa haa si utani nimeipenda hiyo. Imetulia.
ndo ushalitajaUnajua huwa sipendi kulitaja hovyo hili jina "Mungu"
ndo ushalitaja
ungesema jina la muumbajiHapa tayali nilikuwa silitaji bure, nilikuwa na reasons kabisa ya kulitaja, - fuatilia hapo juu utaona
Aha ha ha tulinogewa mkuu kumbe ulikuwa unatunyemelea kimya kimya, hafu huyu Gitwa ndo alianzisha huyu