Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Mhhhh bila shaka utakua na BP sugu wewe
Uko mkoa gan mkuu?tuanzie hapo
Kuhusu Risk kila kitu ni Risk!,hata kulala ni Risk!,kuna watu walienda kulala hawakuamka tena!
Wadau Nipeni Uzoefu Wa Biashara Za Suzuki Carry. Hii biashara naona ni pasua kichwa, na humu jf sijabahatika kuona thread inayohusu hivi vigari vya suzuki carry. Naomba nielekezwe uzi unaogusa Biashara Hii, niutafute au naomba ushauri kwani ninazo mbili na nimefikiria badala ya kuzipeleka kijiweni niletewe hesabu Na Madereva Wangu, Sasa nimeona bora zifanye shughuli zangu binafsi, sasa ni shughuli gan binafsi naweza kufanya na carry hizi? Sorry Kwa Kuingiza Mada Ndan Ya Mada.
kwanza mkuu umeanza na kusema hiyo ni biashara ya pasua kichwa!,kweli itakuwa hivyo kama ulivyosema kwani ajionae mtu moyoni ndivyo alivyo!,Pili umesema unafanya biashara hii ss ni uzoefu gani unaotaka?,Tatu umesema unataka kufanyia shughuli zako!,Hapo ni maamuzi anataka kufanya wala sio ushauri!Nisikuchoshe na status ndeeefu mkuu!
Sawa nimekuelewa mkuu, ingawa hujajibu chochote, kuna watu huwa tuna vipaji vya kupima mawazo ya mtu na kutambua uwezo wake kiakili kwa njia tatu; Argumentation, Analyzation & Reaction. You Have Argued With Tired Mind, You Have Analyzed My Request With Ruined Brain And You Have Reacted As A Dead Mind.

Nimepata jibu kwanini unaiweza biashara ya magari, itakuwa wewe mwenyewe ni fundi magari kwani walio wengi hupelekwa garage baada ya kufeli darasa la 7.
Haki ya .....!
Kuhusu Risk kila kitu ni Risk!,hata kulala ni Risk!,kuna watu walienda kulala hawakuamka tena!
nikupe mfano mdogo tu kwa sisi tulioamua kukaa kijijini.
Laiti kama ningekuwa na hizo suzuki carry2, biashara yangu ingekuwa ni shughuri ya kuzibebesha mkaa tu mara2 kwa siku na kila trip nabeba gunia10 so kwa gari mbili ntakua na gunia40 kwa siku.
Ningenunua chainsaw kwa sh1800k, then naingia mkataba na wachoma mkaa kwa kuwakatia magogo then wao wanapanga na kuchoma kwa sh5000 kwa roba. Nikinunua petrol ya sh120000 2t ya sh36000 na oilchafu ya sh20000 inatosha kabisa kuzalisha roba 1000 za mkaa.
Loba1 la mkaa kulitoa porini mpaka store/kwa mteja nitalilipia gharama ya sh1000 tu.
Kutoka pori mpaka hapa ni km25 tu, so nikuachie assignment ya kujazia cost za mafuta ya hizo suzuki carry kwa huo umbali x2 per day. Kisha fanya overall calculation ya cost na faida utakayopata ikiwa bei ya roba1 ntauza minimum sh25000.
Huo ndo mtaji wangu, ningeanza hivyo na wala nisingepasuliwa kichwa na hii biashara hata siku moja.
Wadau Nipeni Uzoefu Wa Biashara Za Suzuki Carry. Hii biashara naona ni pasua kichwa, na humu jf sijabahatika kuona thread inayohusu hivi vigari vya suzuki carry. Naomba nielekezwe uzi unaogusa Biashara Hii, niutafute au naomba ushauri kwani ninazo mbili na nimefikiria badala ya kuzipeleka kijiweni niletewe hesabu Na Madereva Wangu, Sasa nimeona bora zifanye shughuli zangu binafsi, sasa ni shughuli gan binafsi naweza kufanya na carry hizi? Sorry Kwa Kuingiza Mada Ndan Ya Mada.
Mbona hujamalizia haki ya.....?
Kwa ufupi wewe mwenye maelezo yako tu pasua kichwa.Wadau Nipeni Uzoefu Wa Biashara Za Suzuki Carry. Hii biashara naona ni pasua kichwa, na humu jf sijabahatika kuona thread inayohusu hivi vigari vya suzuki carry. Naomba nielekezwe uzi unaogusa Biashara Hii, niutafute au naomba ushauri kwani ninazo mbili na nimefikiria badala ya kuzipeleka kijiweni niletewe hesabu Na Madereva Wangu, Sasa nimeona bora zifanye shughuli zangu binafsi, sasa ni shughuli gan binafsi naweza kufanya na carry hizi? Sorry Kwa Kuingiza Mada Ndan Ya Mada.