Ujanja wa kukwepa mambo haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujanja wa kukwepa mambo haya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alexism, Nov 15, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kukwepa fine kutokana na kosa ulilofanya dhidi ya TRA,POLICE,JWTZ,MGAMBO,MKUU WAKO WA KAZI AU KONDA tumia maneno haya
  Samahani mkuu
  Samahani boss
  Tusaidiane mkuu au boss
  Tuangalie jinsi ya kunisaidiana
  Boss au mkuu maisha ndo tunaanza niangalie mkuu
  Kusema kweli hapo msala utakuwa umesevu hapa Bongo landi.
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  na pesa kidogo
   
 3. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ukiwanyenyekea wanajua ulaji upo.
   
 4. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo ni sentensi za waoga, watu wanaopenda kujikombakomba,wasio na msimamo na wasaliti. jua haki zako kama raia tekeleza wajibu wako fullstop! Oh ndio tunaanza maisha sasa c unampa oppressor more guts to oppress u! Freedom is comming,we need responsible citizen, corruption haters and hardworkers.
   
 5. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kama ukifanya kosa unastahili adhabu
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  hebu jaribu kuwaambia twende mahakamani tuone madharaa yake
   
 7. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280

  Mkuu hizo mojawapo ya njia za kuhalalisha
  rushwa hapa Tanzania.
   
 8. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sentensi za kuendekeza u2mwa,kama ni haki yako haustahili kusema hayo maneno.
   
Loading...