ujanja wa ku connect WiFi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ujanja wa ku connect WiFi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Njunwa Wamavoko, Oct 25, 2012.

 1. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  habari wanajukwaa,naombeni msaada wadaU MWENYE procedures za ku-connect wifi/ wireless atupie hapa
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ngoja nami niigiliie majibu
   
 3. panyabuku

  panyabuku Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nami niko hapa nasubiri pia
   
 4. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Labda kwa nilivyoelewa swali lako,jinsi ya kuconnect wifi ni lazima uwe eneo ambalo kuna huduma ya internet ya wireless. Na uwe na computer hususani laptop ambayo ina uwezo wa ku detect wifi. (computer nyingi za sasa hivi zina uwezo huo).
  Sasa unapaswa ku-switch ''on'' wireless katika computer yako nayo ita detect na ndipo utaweza ku-connect.
   
 5. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Lazima uwe na chombo kinchodetect Wi-Fi. Kama, laptop, tablets au simu.
  Pili lazima kuwepo na Wi-Fi, ambayo siyo secured... ya public au kama ni secured lazima upate SSSID yake.
  Baada ya hapo, una-unaconnect, na kuanza kula mtandao.
  Njia nyingine, kama una simu ambayo inaweza kudetect wi-fi, na una USB stick yenye sim card, basi connect hiyo stick kwenye laptop au tablet, weka simu on ..... kula wi-fi.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuna namna nyingi za ku connect wifi:

  1) Kuna wifi zinarushwa na Service Providers, hii mpaka upate consent yao na access key zao.

  2) Kuna wifi zinarushwa na makampuni mahoteli migahawa ma airport, nyingi huwa za bure ukiwa katika hilo eneo lao, hapo una search wifi ukiipata una connect.

  3) Kuna wifi unaweza kurusha wwewe mwenyewe kama una pc au laptop yako, unashusha program inaitwa connectify me, fata hii link : Your Hotspot, Your Way - Connectify.

  Hiyo una install kwenye pc au laptop yako na unarusha wifi ambayo unaweza kuunga nyumbani kwako kwa vitu vingine kama Ipad, simu na pc nyingine. Ipo ya bure ina limited features na ipo ya kununuwa ina manjonjo zaidi. (mimi natumia ya bure na niko happy kabisa).

  4) Kuna njia nyingine unanunuwa huawei mobile wifi, zipo aina mbili tatu, hizi unabandika sim card yako kama kawaida na unaunga pc au laptop au simu au ipad au tablet (nnayotumia mimi Model E560 inaweza kuunga mpaka vitu vitano kwa mara moja) swaafi kabisa.

  Wengine watakupa maujanja mengine.
   
 7. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  mkuu weka procedures za kudetect hiyo wifi kwenye pc
   
 8. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  kama upo sehemu ambayo kunapatikana wireless internet,lazima kama una simu hususani hizi smartphones(simu za kisasa) au una laptop wewe angalia kwenye screen ya laptop yako kwenye kila ki-icon kinachoonesha internet,click alafu utaona huduma za internet zinazopatikana,sasa wewe tazama sehemu inayoonesha 'wireless network connection' kisha click connection utakayoona.
  Kwa mfano jaribu kwenda karibu na ofisi kubwa hapa mjini mfano kwenye mabenki kisha washa laptop yako,utaona ita-detect wifi tu. Example. CRDB,Simba net,n.k
   
 9. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 180
  Mkuu zinakuwa zinahitaji code ndo uweze kutumia net
   
Loading...