#COVID19 Ujanja ni kuchanja UVIKO : Dunga chanjo kama chale

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
1,028
2,448
Ebhana wazee habari zenu. Nawasalimu kwa jina la JMT.

Kufuatia mawimbi mbalimbali ya corona yanayozuka kila baada ya mwezi, inasemekana kwamba kirusi huyu anabadilika umbo na nguvu zake.

Na kwa sababu hiyo, hata chanjo zinazotengenezwa hazifui dafu. Panahitajika chanjo mpya kwa kila kirusi kipya kinachozuka.

Leo kimezuka kirusi cha OMICRON. Hichi kinahitaji chanjo mpya.

Kama ulidunga chanjo ya DELTA, unahitaji chanjo ya OMICRON.

Virusi hivi vitaendelea kujibadilisha mpaka miisho ya ulimwengu. Itatuchukua miongo mingi ijayo tukiwa na zoezi la kudunga chanjo endelevu siku zote za maisha yetu.

Dunga ALFA, Dunga DELTA, Dunga OMICRON, na baadae vitakuja virusi vipya pia. Utapaswa kudungwa tena na tena na kupokea BOOSTERS kila baada ya miezi kadhaa. Booster after booster, and booster after booster.

Dungeni chanjo kweli kweli ili MSIFE. Chanjo ni afya. Kula chanjo kweli kweli mpaka mwili ukae sawa sawa. Usipodungwa chanjo HAUENDI ULAYA na utanyimwa passports na visa.

Mwili mzima lazima ujae chale za chanjo. Hii ni sifa njema na inathibitisha kwamba tunazingatia sayansi na utaalamu wa washauri wa afya.

Ujanja ni kuchanja. Msiwasikilize washamba wasiojua sayansi.
 
***** dungwa sana chanjo hadi mwili mzima ujae matobo tobo, eti ili USife...kweli dunga sana majinga, chanjo ni Afya..piga sana watu chanjo hadi akili ikawe sawa...manina zenu piga chanjo jamaa
 
Hahahaaaa .....

Bwashee umedungwa chanjo?

Hutaki kwenda Ulaya wewe?
 
Ebhana wazee habari zenu. Nawasalimu kwa jina la JMT.

Kufuatia mawimbi mbalimbali ya corona yanayozuka kila baada ya mwezi, inasemekana kwamba kirusi huyu anabadilika umbo na nguvu zake.

Na kwa sababu hiyo, hata chanjo zinazotengenezwa hazifui dafu. Panahitajika chanjo mpya kwa kila kirusi kipya kinachozuka.

Leo kimezuka kirusi cha OMICRON. Hichi kinahitaji chanjo mpya.

Kama ulidunga chanjo ya DELTA, unahitaji chanjo ya OMICRON.

Virusi hivi vitaendelea kujibadilisha mpaka miisho ya ulimwengu. Itatuchukua miongo mingi ijayo tukiwa na zoezi la kudunga chanjo endelevu siku zote za maisha yetu.

Dunga ALFA, Dunga DELTA, Dunga OMICRON, na baadae vitakuja virusi vipya pia. Utapaswa kudungwa tena na tena na kupokea BOOSTERS kila baada ya miezi kadhaa. Booster after booster, and booster after booster.

Dungeni chanjo kweli kweli ili MSIFE. Chanjo ni afya. Kula chanjo kweli kweli mpaka mwili ukae sawa sawa. Usipodungwa chanjo HAUENDI ULAYA na utanyimwa passports na visa.

Mwili mzima lazima ujae chale za chanjo. Hii ni sifa njema na inathibitisha kwamba tunazingatia sayansi na utaalamu wa washauri wa afya.

Ujanja ni kuchanja. Msiwasikilize washamba wasiojua sayansi.
Upo vizuri fanani, Antivaxxers tumekuelewa!! 😀
 
Waungwana mi nahitaji chanjo lakini isiwe ya mchina. Tafadhali kama unafahamu naweza kuipata wapi ntashukuru ukinifahamisha. (JJ, MODERNA, BioNtech, Pfizer)
 
Back
Top Bottom