Ujanja mwingine Banaa,,.!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
748
Mzee mmoja aliagizwa SIDIRIA na mke wake,alipofika dukani akawa amesahau size gani!
Mama muuzaji akamwambia; Njoo unishike maziwa, utakumbuka ukubwa wa SIDIRIA uliyoagizwa.
Mzee aliposikia hivyo akasema dah!! Samahani kumbe niliagizwa na CHUPI!!!
Mama: Nyoo mshenzi mkubwa wewe!!:heh::heh::heh::heh:
 



ha hah aha haa haa ha
 
Hahahaaa' angepata size ya mkewe angesema na ya small house pia ametumwa...... Chezea
 
mbaaaaaaavyu
 


Aaaaahhh!! Babuuuu, iko janja sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…