Huo siyo ujana. Hizo ni nguvu za pombe. Kwa maana hiyo nae huyo unayemwita mpenzi wako ataenda kwa rafiki yake wataanzisha hayo hayo na mwisho kupigwa mashine kirahisi rahisi.
hiyo story kidogo iendane na yangu ambayo ni realy story ila skugonga japo wao walilainika na kujiachia mwaa.
mpaka leo hawananga hamu namimi,kwani niliwanawa na kupiga dryhumping usiku kuja.
inatokea sana,kuna wakati mi hushangaa ile self control nilikua naitoa wapi licha ya wakati mwingine kuwa kilaji kimekolea kichwani.
ila hakuna kitu nimekua nikikiogopa kama HIV asee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.