Ujambazi wa silaha umerudi Dar!

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,772
8,958
Kulingana na habari nilizozipata.. nimetaarifiwa kwamba Ujambazi wa kuvamia nyumba za watu usiku wakiwa wamelala umerudi mjini..
Hii ni hatari kubwa sana kwa usalama wa wananchi ikiwa tunashindwa kabisa kukomesha Majambazi hasa wa kutumia silaha..
Jamani hii nchi yetu inakwenda wapi! Je, ni njaa au ndio ktk kutafuta njia rahisi za Utajiri..
Lini sheria itaweza kusimama na wananchi wake wawe wanyenyekevu kutii sheria zenyewe.
 
Mkuu taarifa yako haina mfupa...tolea basi hata mifano miwili mitatu kudhibitisha hili, ni mitaa gani ya dar hii kitu inatokean sana na lini na mzee Kova ka comment nini, ili tuchangie vizuri!
 
Back
Top Bottom