Kila cku matukio ya kiharifu yanatokea ktk nchi hii mfano miliko mbalimbali kwenye alaik, umwagiwaj wa tindikali kwa baadh ya wa2, ujambaz nk, punde 2 yanapotokea matukio km haya jeshi la polisi hujtokeza na kutangaza dau kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa waharif hao, wakat wao ndo wenye jukumu na dhamana ya ulinz na usalama wa watu na mali zao, siping ya kuwa raia wa tz ana jukumu la kutoa taarifa kwa jesh la polis pale anapoona kuna viashiria ama tukio la kiarifu la hasha, swala linakuja hivi wanatumia vgezo pale mtu anapokuja kutoa taarifa kuwa fulan ni muhucka wa tukio fulan na huyo mtoa taarfa kupewa hlo donge nono, hatuoni hapa kutakuwa na mazngira ya kubambikiana kesi, kwa mfano mm ni A nina uhasama na B nina uwezo wa kwenda polisi na kusema B ndo alihucka kumwagia tindikali C, utackia "jesh la polis litatumia kitengo chake maalum ambacho kina wataalam waliobobea kumbain" kwa nn hawakutumha ktengo hicho hicho kumtambua na kumkamata? Jana 2 limetokea 2kio la ujambaz k/koo na tetesi znasema jesh la polis lmetangaza donge nono kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa majambaka yale. Ndo 2seme uwezo wa jesh la polis ni kuzuia maandamano na mikusanyko 2 na sio majambaz? Naomba kuwaclisha