Kwa hiyo mpira si haramu?Uislam vitu vilivyoharamishwa ni pombe, nguruwe, basi
Uislamu unaangalia outcomes ya kitu yaani matokeo ya kitu .Kwa hiyo mpira si haramu?
Maana ukipitia hata Comment za haki Manara kwenye post aliyoenda huko uarabuni alipozikiwa Mtume utakuta watu wakimsihi na kumuomba aachane na mpira kwa sababu kwenye Dini ni haramu... Sasa hapo kipi ni kipi
aya gani inasema mpira ni haram? Hakuna aya yoyote kwenxe quran inayokataza mpiraKwa hiyo mpira si haramu?
Maana ukipitia hata Comment za haki Manara kwenye post aliyoenda huko uarabuni alipozikiwa Mtume utakuta watu wakimsihi na kumuomba aachane na mpira kwa sababu kwenye Dini ni haramu... Sasa hapo kipi ni kipi
Hapo ndio utamkamata !?😅😅uharamu wa mpira ni mambo yanatokana na mpira kama kukaa uchi , matangazo ya pombe mambo ya betting yaani kamari.aya gani inasema mpira ni haram? Hakuna aya yoyote kwenxe quran inayokataza mpira
Kweli maana matangazo ya pombe na kamari hata kwenye tv yapo! Kwa iyo na tv nayo ni haramu?Hapo ndio utamkamata !?😅😅uharamu wa mpira ni mambo yanatokana na mpira kama kukaa uchi , matangazo ya pombe mambo ya betting yaani kamari.
Ila mpira hauna tatizo..
Atakusumbua kwa vile uislamu unaangalia matokea ya kitu ...
Unanielewa au hauna elimu?Kweli maana matangazo ya pombe na kamari hata kwenye tv yapo! Kwa iyo na tv nayo ni haramu?
Tv ni haramu, hata picha iliyoganda ni haramuKweli maana matangazo ya pombe na kamari hata kwenye tv yapo! Kwa iyo na tv nayo ni haramu?
Mimi nimeuliza hili kupata uhakika... Maana nimemuona sheikh hapo kwenye video anasema mpira ni haramu, na niliwahi kumsikia haji Manara akisema "Kwanza Mpira" ni haramu, pia kwenye comment za page ya Manara, watu wanamwambia Manara mpira ni haramu.... Sasa na mimi ndio nimeuliza kupata ukweli juu ya uharamu huoaya gani inasema mpira ni haram? Hakuna aya yoyote kwenxe quran inayokataza mpira
Sasa kukaa uchi, matangazo ya pombe, betting na mpira kuna uhusiano gani... hapo haramu sio mpira ni vitu husika kama kukaa uchi, pombe, betting... Ambavyo sio kila mtu anayecheza mpira au kutizama mpira anavifanya... Kukaa uchi, betting na pombe ni hulka ya mtu tu, wapo watu wanaopenda mpira na si wafuasi wa hivyo vitu... Je ni vyema kuendelea kusema mpira ni haramuHapo ndio utamkamata !?😅😅uharamu wa mpira ni mambo yanatokana na mpira kama kukaa uchi , matangazo ya pombe mambo ya betting yaani kamari.
Ila mpira hauna tatizo..
Atakusumbua kwa vile uislamu unaangalia matokea ya kitu ...
Ndio nakubaliana na wewe kwamba sio kila muarabu ni muislamu, lakini asilimia zaidi ya 80% ya waarabu duniani ni waislamu, sijawahi kuona muarabu kanisani. Labda unless useme wapo wapagani ambao hawana dini. Pia ningetaka uzungumzie kwa kina Mpira ni ibada kivipi, maana hata wangecheza watano, wakabadili angel, pitch na vinginevyo bado ungesema ni ibada... Sasa tupe mbadala mpira uchezejwe hili husiwe ibadaElewa kwanza sio kila muarabu ni muislam japo wengi wao ni waislam.
Mpira ni Haram kwa dini zote.
Uharamu wake huja kutokana na nampangilio wa namba kuanzia idadi ya wachezaji,mda wa kucheza, Angel, pitch nk vipo calculated.
Mpira ni ibada
Google utawaona waarabu Kanisani.Ndio nakubaliana na wewe kwamba sio kila muarabu ni muislamu, lakini asilimia zaidi ya 80% ya waarabu duniani ni waislamu, sijawahi kuona muarabu kanisani. Labda unless useme wapo wapagani ambao hawana dini. Pia ningetaka uzungumzie kwa kina Mpira ni ibada kivipi, maana hata wangecheza watano, wakabadili angel, pitch na vinginevyo bado ungesema ni ibada... Sasa tupe mbadala mpira uchezejwe hili husiwe ibada
Hapo kwenye kupromoti ushoga ni kivipi?Google utawaona waarabu Kanisani.
Ni nchi chache uarabuni hazina makanisa.
Mpira kombe la dunia mpira wa miguu ni la kishetani.
Biblia inamtaja shetani kama joka
Nembo ya kombe la Dunia ni chatu aliyejipinda kichwa kikiwa juu
Na kombe lenyewe la mpira kombe la dunia ni chatu aliyejipinda kichwa kikiwa juu
Timu zinazocheza kombe la dunia zinashindania kuchukua kombe lenye sanamu ya joka kuu shetani wachukue sanamu ya joka shetani kupeleka kwao.
Angalia vizuri mwenyewe kuhakikisha ninachosema nembo ya kombe la dunia ikitulia au kwenye TV linavyonyeshwa timu zikicheza na kombe lenyewe linavyoonekana ni ushetani mtupu
World football Cup ni kugombea kichwa cha shetani
Mpira unapromote ushoga