Hiyo nguvu ya kuzungusha wataitoa wapi? ARUSHA yule jamaa akatafute kazi nyingine Gambo karibu ARUSHA MJINIKwa sasa wamepoteana. Sijui kama watazungusha mikono tena msimu ujao.
Hiyo nguvu ya kuzungusha wataitoa wapi? ARUSHA yule jamaa akatafute kazi nyingine Gambo karibu ARUSHA MJINIKwa sasa wamepoteana. Sijui kama watazungusha mikono tena msimu ujao.
Kwa taarifa nilizonazo jamaa wamegoma kula siku nzima!Habari mbaya sana hii kwa chadema
Madeni toka nyerere yapo kibao...wasije wakazikatamata na huko, hiv hatuna kesi huko kweli kwa Malikia
good question.Kumbe. BA si walikuwa wanakuja kipi kiliwafanya kuacha wakati kuna fursa nyingi?
Musiba kawapa onyo wakitua tu jamaa waaikamata...kina nyalandu na genge lao..Pelukeni Ndege muone kama itarudi.
Mbona huyo mkurugenzi wa biashara ATCL mawazo yako mbaliii kama anayewaza jee yasitukute ya Mkulima wa South Africa!Zitto Ruyagwa Kabwe sijui anajisikiaje akisoma habari kama hizi.
Hueleweki.Mbona huyo mkurugenzi wa biashara ATCL mawazo yako mbaliii kama anayewaza jee yasitukute ya Mkulima wa South Africa!
Maana mpaka Sasa zaidi ya wiki ndege kushikiliwa sijui ni hasara kiasi gani!
JPM JUUMagufuli hizi sifa sasa.!
Mwakilishi wa ujumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Andrew Rosindell akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, baada ya mazungumzo ya awali ya ushirikiano kati ya shirika la ndege Tanzania (ATCL) na nchi hiyo, ikiwa ni mkakati wa shirika hilo kuanzisha safari ya kwenda uingereza. Kulia ni Mkurugenzi wa biashara wa ATCL, Patrick Ndekana. Picha na Ericky Boniphace View attachment 1174661
Na malkia na ule uzeee anaweza sema wakati wa ukoloni tulimpiga majungu anataka fidiaKweli kabisa ni fursa. Ila Mhhhh, kule nako mabeberu wasije wakafanya yao tukaanza kumtafuta malkia
..basically wanaosafiri kwenda UK wanatoa fedha Tz na kupeleka UK.