Uingereza yasema ATCL kufanya safari zake nchini humo ni fursa ya kiuchumi

wasije wakazikatamata na huko, hiv hatuna kesi huko kweli kwa Malikia
 
YAANI JARIBUNI KUPELEKA.NDEGE UK MTAJUUATA .KUNA KESI.ZA ACCASIA.KUNA.ESCROW KUNA RICHMOND KUNA SIMBION MSIENDEEEEE MSIENDEEEEE MSIEENDEEEEE TATIZO HILOOOO.UWIIIIIIIIII UWIIIIIIII NDEGE ZETU.WANA ZIKAMATA
pic+atcl.gif

Mwakilishi wa ujumbe maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Andrew Rosindell akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, baada ya mazungumzo ya awali ya ushirikiano kati ya shirika la ndege Tanzania (ATCL) na nchi hiyo, ikiwa ni mkakati wa shirika hilo kuanzisha safari ya kwenda uingereza. Kulia ni Mkurugenzi wa biashara wa ATCL, Patrick Ndekana. Picha na Ericky Boniphace View attachment 1174661
 
Back
Top Bottom