ni kweli kabisa Haiwezekani wao hujitapa sana lakini Mrusi awadukue,Sasa jiulize kama wao wanalalamika sie nchi zetu ambazo hatuna teknolojia je tuko salama, nadhani tunajulikana hadi ndani ya mioyo yetu mbele ya hao wababeHawa wa BBC na CNN Inaonekana wanachotulisha na hali halisi kuhusu Urusi ni tofauti kabisa.
Hawa warusi noma sana,wamehack hadi ubongo wa dokta Shika.
Nimecheka mpaka naonekana mwenye dharau mbele ya boss etiHawa warusi noma sana,wamehack hadi ubongo wa dokta Shika.
Sio watu wazuri hao jamaa,Nyerere kampeleka Shika kubukua Urusi akiwa sawa kabisa ila karudi hajielewi.Nimecheka mpaka naonekana mwenye dharau mbele ya boss eti
marekani inalindwa na zile bahari mbili,paciffic na antlantic,Russia ni powerful country but haeawezi Kuwa super power sababu hawana strategies za kumpindua USA kutoka powerful country of the world
The strongest man in the world.Putin...