Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Sasa Iran anaweza kumfanya nini Mama?Isiishie kulaani tu,ipeleke pua yake pale.
dodge
Hapo kwny Mama una maanisha nini?Sasa Iran anaweza kumfanya nini Mama?
Atapigwa na watoto tu Canada, Australia, Jamaica na wengine watamfanya hamna
Yaani Iran ampige UK ...!!! Acha kuota bacHao wakijifanya kuingiza ata pua watakung'utwa mpaka wasahau walipo toka, kenge hao
Hao UK wamezidi unafiki sema.Yaani Iran ampige UK ...!!! Acha kuota bac
Hawana uwezo huo mkuuIsiishie kulaani tu,ipeleke pua yake pale.
dodge
Queen Elizabeth!Hapo kwny Mama una maanisha nini?
dodge
Umewasahau au sio?Hao UK wamezidi unafiki sema.
Lazima walaani sababu kulikuwa na wafanyakazi wao pia..Hao UK wamezidi unafiki sema.
Anataka kununua ugomvi huyo tushamjua, anatafuta gear ya kuingilia.Umewasahau au sio?
Sasa ngoja warudi
Wewe peleka mahaba yako huko....Iran hawezi mpiga UK hata kama UK yupo usingizini..