Uingereza na Israel hawana katiba sisi mishipa ya shingo inatutoka

kaongea point sana lakini alipofikia hapo kwa kusema ati hawana katiba nikamdharau na kumshusha, kwani lazima mambo yao tuyafate, na sie tuna mambo yetu lazima yafatwe na yaheshimiwe, haina ulazima wa kufata yao kisa hawana katiba
Wakiambiwa waruhusu na ushoga wao wananunaaa,lini waliona uchaguzi wao unafanyika vifaru vikiwa mlangoni?.sikutegemea kipya sanaa baada ya kukubali ule uteuzi.

Na lengo la magu ni kudharirisha ma professor na Dr wote walio kua na midomo mirefuu,tutafika mahali vijana wetu hawataona umuhimu wowote wa u professor/Dr.hapo wazungu wataporudi tena kutufundisha.
 
Phillipo Bukililo ,

..ni kweli uk na israeli hawana katiba.

..lakini Tz tayari tunayo katiba. The best way forward ni kuiboresha katiba hiyo iendane na mazingira yetu na hali halisi.

..hatuwezi kurudi ktk zama za kale na kuitupa katiba yetu.

..hata ZNZ walikuwa hawana katiba na siyo siri kwamba yalifanyika mambo mabaya ya kikatili ktk kipindi hicho walipokuwa hawana katiba, bunge, na mahakama.

..nadhani Prof aliteleza tu kutoa maneno hayo. Siamini hata kidogo kama huo ni msimamo wake.
Mkuu,kama unaamini kateleza endelea kusubiri.nakuhakikishia hakuna professor/Dr yoyote alie kubali uteuzi atakae kwenda kinyume na mtukufu.

Wasomi wanaosimamia wayoyaamini tanzania hii bado hawaja zaliwa.
 
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.

Ameongea mengi lakini yaliyonigusa zaidi ni pale aliposema kuwa Israel na Uingereza hawana katiba zilizoandikwa ambazo wanazotumia kama rejea halisi ya uongozi wa mataifa yao.

Mheshimiwa Kabudi akaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa Zanzibar kuanzia mwaka 1964 mpaka mwaka 1979 haikuwa na katiba yoyote ile ya maandishi.

Maisha ya kisiasa ya Israel na Uingereza yanakwenda kama kawaida, wao wanazo mila na desturi ambazo kwa umoja wao wamekubaliana ndizo ziwe mwongozo wa kisiasa na kijamii. Hapa Tanzania wajuaji wanajaribu kila kukicha kutuambia kwamba bila ya katiba mpya basi maisha ya taifa yanakuwa na matatizo!.

Gwiji wa sheria labda kasahau kuiongelea Rwanda ambayo tangu Kagame aingie madarakani imekuwa ikizidi kujijengea heshima kimataifa pasipo kuweka msisitizo kwenye masuala ya katiba mpya.

Profesa Kabudi akaieleza jamii yetu kwamba hata huo utungwaji wa katiba yetu uliofanywa kwa mara ya kwanza na Waingereza, ulifanyika katika mtazamo wa dharau ndani yake!. Kwamba tuwaandikie hawa jamaa taratibu za kiutawala kwani wao wenyewe hawawezi kujiandikia.

Maana yake ni kwamba kadri taifa linavyozidi kukua kiumri na kupata watu wenye uwezo wa kuhoji kwa kina juu ya maisha yao ya kila siku, ipo haja ya kuipitia kwa undani hata katiba hii ambayo imejaa chembechembe za ukoloni.

Pia profesa Kabudi kaongelea namna ambavyo mheshimiwa rais asivyofunga safari za nje za mara kwa mara, sawa sawa na maoni ya wananchi wakati wa upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Warioba.

Lipo fundisho kubwa kupitia namna ambavyo mheshimiwa waziri wa sheria Prof Kabudi alivyoongea bungeni, nalo ni kwamba wanaharakati wetu wanayo tabia ya kufaidika na jamii pana kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu masuala ya katiba. Labda hufanya hivyo kwa nia binafsi lakini watambue kwamba wanachokiongea sio sawa na maneno ya kwenye misahafu.

Israel na Uingereza hawajaweka mkazo kwenye katiba zilizoandikwa lakini maisha yanakwenda kama kawaida.
Maprofesa wetu huwa ni wepesi kubadilika, unatolea mfano nchi ya kifalme kuwa na katiba? Hajui uingereza ni monarch? Huyu prof. Kabudi si ndio alikataa mgombea huru na pia alishiriki kutunga rasimu ya katiba mpya ya Warioba. Had he been against the country having the constitution why didn't he refuse to be a part and parcel of the committee ?
 
Phillipo kwakuwa leo ni sikukuu basi umeamua kunywa na ili kutuonyesha umelewa ndio umeamua kuleta hii post yako. Alichokuwa anakifanya Prof. Kabudi jana ni kuona watu ni wanafunzi wake wa chuoni pale UDSM hivyo akaishia kutoa historia na sio kujibu hoja za msingi. Kama sio njaa inamsumbua alipochaguliwa kwenye tume ya Warioba kwani hakukataa na kusema Israel na Uingereza hakuna katiba zilizoandikwa? Nilichokiona kwake ni kuhakikisha analinda mkate wake hasa ukizingatia umri aliofikia anajisikia vibaya kwa kijana mdogo kama Makonda kumzidi kwa kipato na maisha, hivyo namna pekee na yeye ni kujipendekeza kwa mteule wake ili na yeye atoke kimaisha kwani umri umeshaenda. Katika mazingira ya kawaida na kiwango chake cha elimu kweli anaweza kutolea mfano Israel na Uingereza kwenye katiba na Tanzania mahali ambapo watu wanakimbia na mabox ya kura kimachomacho?
Utumwa wa kifikra ,ndo unaligarimu taifa hili.ngoja Dr majipu aendelee kuwadharirisha waliokua wanaongea kwa kutumbo.
 
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.

Ameongea mengi lakini yaliyonigusa zaidi ni pale aliposema kuwa Israel na Uingereza hawana katiba zilizoandikwa ambazo wanazotumia kama rejea halisi ya uongozi wa mataifa yao.

Mheshimiwa Kabudi akaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa Zanzibar kuanzia mwaka 1964 mpaka mwaka 1979 haikuwa na katiba yoyote ile ya maandishi.

Maisha ya kisiasa ya Israel na Uingereza yanakwenda kama kawaida, wao wanazo mila na desturi ambazo kwa umoja wao wamekubaliana ndizo ziwe mwongozo wa kisiasa na kijamii. Hapa Tanzania wajuaji wanajaribu kila kukicha kutuambia kwamba bila ya katiba mpya basi maisha ya taifa yanakuwa na matatizo!.

Gwiji wa sheria labda kasahau kuiongelea Rwanda ambayo tangu Kagame aingie madarakani imekuwa ikizidi kujijengea heshima kimataifa pasipo kuweka msisitizo kwenye masuala ya katiba mpya.

Profesa Kabudi akaieleza jamii yetu kwamba hata huo utungwaji wa katiba yetu uliofanywa kwa mara ya kwanza na Waingereza, ulifanyika katika mtazamo wa dharau ndani yake!. Kwamba tuwaandikie hawa jamaa taratibu za kiutawala kwani wao wenyewe hawawezi kujiandikia.

Maana yake ni kwamba kadri taifa linavyozidi kukua kiumri na kupata watu wenye uwezo wa kuhoji kwa kina juu ya maisha yao ya kila siku, ipo haja ya kuipitia kwa undani hata katiba hii ambayo imejaa chembechembe za ukoloni.

Pia profesa Kabudi kaongelea namna ambavyo mheshimiwa rais asivyofunga safari za nje za mara kwa mara, sawa sawa na maoni ya wananchi wakati wa upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Warioba.

Lipo fundisho kubwa kupitia namna ambavyo mheshimiwa waziri wa sheria Prof Kabudi alivyoongea bungeni, nalo ni kwamba wanaharakati wetu wanayo tabia ya kufaidika na jamii pana kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu masuala ya katiba. Labda hufanya hivyo kwa nia binafsi lakini watambue kwamba wanachokiongea sio sawa na maneno ya kwenye misahafu.

Israel na Uingereza hawajaweka mkazo kwenye katiba zilizoandikwa lakini maisha yanakwenda kama kawaida.
KABUDI YUPO SAHIHI, NORMALY THERE IS TWO TYPES OF CONSTITUTIONS
1. Written
2. Unwritten
Ya kwetu ni written ya uingereza na Israel ni unwritten.
KWA VILE SHERIA NA ADHABU UBADIRIKA KUTOKANA NA WAKATI NA MAZINGIRA, KUNA UMUHIMU WA KUDAI KATIBA MPYA.
 
Wewe na prof wa sheria nani anayeyajua masuala ya kisheria?. Huo ndio upuuzi wa vijana wengi wa kisasa, vijana wa mwendokasi, uelewa mdogo halafu juhudi za kuukuza na zenyewe ni ndogo sana.
Wewe pumba tu , Profasor wenyewe wa kuungaunga hana issue anazungumza kisiasa kimaslahi ndio hao akina Lipumba hawana mpya,wewe umeona wapi taasisi kuendeshwa bila kujiwekea taratibu za kisheria? Au ndio ukisikia Profasor ndio wewe unapiga makofi tu? Tumia akili wewe.
 
Nyinyi msiokuwa mabashite mmekumbushwa kuwa zipo nchi ambazo zinaendeshwa kwa mila na desturi pasipo kuwepo haja ya maandishi. Tatizo ni lile lile la kukaririshwa mambo na nyinyi mkayachukua kama mlivyoyasikia.

..Profesa amekuwa too theoretical.

..mhadhara wake alipaswa kuutoa kwa wasomi wenzake wa sheria na siyo kwa wabunge.

..sasa inaonekana kama Tz ina waziri wa sheria na katiba ambaye ana advocate tufuate mfumo wa Uingereza ambao hawana "written constitution."
 
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.

Ameongea mengi lakini yaliyonigusa zaidi ni pale aliposema kuwa Israel na Uingereza hawana katiba zilizoandikwa ambazo wanazotumia kama rejea halisi ya uongozi wa mataifa yao.

Mheshimiwa Kabudi akaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa Zanzibar kuanzia mwaka 1964 mpaka mwaka 1979 haikuwa na katiba yoyote ile ya maandishi.

Maisha ya kisiasa ya Israel na Uingereza yanakwenda kama kawaida, wao wanazo mila na desturi ambazo kwa umoja wao wamekubaliana ndizo ziwe mwongozo wa kisiasa na kijamii. Hapa Tanzania wajuaji wanajaribu kila kukicha kutuambia kwamba bila ya katiba mpya basi maisha ya taifa yanakuwa na matatizo!.

Gwiji wa sheria labda kasahau kuiongelea Rwanda ambayo tangu Kagame aingie madarakani imekuwa ikizidi kujijengea heshima kimataifa pasipo kuweka msisitizo kwenye masuala ya katiba mpya.

Profesa Kabudi akaieleza jamii yetu kwamba hata huo utungwaji wa katiba yetu uliofanywa kwa mara ya kwanza na Waingereza, ulifanyika katika mtazamo wa dharau ndani yake!. Kwamba tuwaandikie hawa jamaa taratibu za kiutawala kwani wao wenyewe hawawezi kujiandikia.

Maana yake ni kwamba kadri taifa linavyozidi kukua kiumri na kupata watu wenye uwezo wa kuhoji kwa kina juu ya maisha yao ya kila siku, ipo haja ya kuipitia kwa undani hata katiba hii ambayo imejaa chembechembe za ukoloni.

Pia profesa Kabudi kaongelea namna ambavyo mheshimiwa rais asivyofunga safari za nje za mara kwa mara, sawa sawa na maoni ya wananchi wakati wa upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Warioba.

Lipo fundisho kubwa kupitia namna ambavyo mheshimiwa waziri wa sheria Prof Kabudi alivyoongea bungeni, nalo ni kwamba wanaharakati wetu wanayo tabia ya kufaidika na jamii pana kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu masuala ya katiba. Labda hufanya hivyo kwa nia binafsi lakini watambue kwamba wanachokiongea sio sawa na maneno ya kwenye misahafu.

Israel na Uingereza hawajaweka mkazo kwenye katiba zilizoandikwa lakini maisha yanakwenda kama kawaida.
Usitulinganishe na UK au Israel, tunayo katiba ambayo ni Muongozo na Mambo hayaendi, jee ikiwa hatuna kabisa?
 
Huwezi kufananisha nchi zilizopitia civilization Africa nchi ya kwanza kua civilized ni Misri, civilization inaendana na mtu kuona kwamba kwasababu nimefanya kitu fulani kwaio sistahili kuendelea kushikilia ofisi ya umma sasa hapa tumeona bashite, tuona waziri wa mambo ya ndani, tumeona polisi kimsingi kama tungelikua civilized hizo institutions vionyozi wake wamekosa moral authority hivyo iliwapasa wenyewe kujiuzulu lakini tunaona watu wanavyokomaa sasa mtu anasema kwamba uingereza hawana katiba sijui israel mtu mweusi wa Africa hajafikia civilization za kuweza kuona hichi kinafaa au hakifai bila kua na maelekezo sehemu(katiba)
 
Prof Kabudi kaamua kuweka uprof wake pembeni na kuuvaa unazi! Waingereza wamejichagulia mtindo wao wa maisha na sisi watz tumejichagulia mtindo wetu wa maisha. Watanzania wanataka katiba mpya!
Mmejichagulia? Umesikia source ya katiba tunayotumia imetokea nchi gani na dharau iliyoambatana na utunzi wa hiyo katiba.
Hujajichagulia kitu, umechaguliwa na waingereza.
 
Wanazo katiba ila ziko kwenye nyaraka tofauti tofauti Uingereza wana ,bill of rights,petiton of rights,Magna carta, habeas corpus,Act of setlement na mengine na mengine na sheria za bunge na maamuzi mengine ya kimahakama.Kama prof kasema hawana katiba hapo naanza kuhisi Mwakiembenization.Naanza kupata taabu sasa kama na huyu ametugeuka.Akiwa kwenye mdahalo wa katiba wakati ule alitwambia Tanzania na Congo ni nyonga za Africa na kwamba tusipoilinda Tz mabeberu wataigawana kama Congo na kwamba njia ya kuilinfa ni kuwapa watanganyika Tanganyika kabla hawajaidai.
Wanaita uncodified constitution, huyu profesa hapa amepotoka tatizo ccm wanamshangilia ameanza kufanya branda
 
Nilisema hakuna Professor Tanzania, njaa mwanamalegeza. Ujinga, unaweza linganisha mazingira ya kisiasa yetu na Israel Uingereza? Shame up on him Propesa No.2. Katiba ipo but is not written on paper as a single document kama nchi zilizonyingi. Hapa ni makabila 128, quite diferent, how do you live by mila na desturi. Jinga Propesa! Uingereza kuna akina Ben wanapotezwa, Kunyimwa dhamana miezi mine, Israel inaweza tokea? Shame Propesa No. 2

Britain's unwritten constitution

Unlike most modern states, Britain does not have a codified constitution but an unwritten one formed of Acts of Parliament, court judgments and conventions. Professor Robert Blackburn explains this system, including Magna Carta’s place within it, and asks whether the UK should now have a written constitution.

For most people, especially abroad, the United Kingdom does not have a constitution at all in the sense most commonly used around the world — a document of fundamental importance setting out the structure of government and its relationship with its citizens. All modern states, saving only the UK, New Zealand and Israel, have adopted a documentary constitution of this kind, the first and most complete model being that of the United States of America in 1788. However, in Britain we certainly say that we have a constitution, but it is one that exists in an abstract sense, comprising a host of diverse laws, practices and conventions that have evolved over a long period of time. The key landmark is the Bill of Rights (1689), which established the supremacy of Parliament over the Crown following the forcible replacement of King James II (r.1685–88) by William III (r.1689–1702) and Mary (r.1689–94) in the Glorious Revolution (1688).

From a comparative perspective, we have what is known as an ‘unwritten constitution’, although some prefer to describe it as ‘uncodified’ on the basis that many of our laws of a constitutional nature are in fact written down in Acts of Parliament or law reports of court judgments. This aspect of the British constitution, its unwritten nature, is its most distinguishing characteristic.

Should the UK have a written constitution?
The question then arises in this 800th anniversary year — should the UK now take steps to codify all its laws, rules and conventions governing the government of the country into one comprehensive document, ‘a new Magna Carta’? The case for a written UK constitution has been debated at our universities and by politicians of all parties for several decades and has been the subject of a House of Commons committee inquiry during the 2010–15 Parliament. If a written constitution for the future is to be prepared, it must be one that engages and involves everyone, especially young people, and not simply legal experts and parliamentarians. Some of the mystique and charm of our ancient constitution might be lost in the process, but a written constitution could bring government and the governed closer together, above all by making the rules by which our political democracy operates more accessible and intelligible to all.
Hapa sasa nimeielewa hoja yako kwenye ule uzi mwingine
 
Karibu kuelewa kabla ya kujibu kwa pupa, Prof. hajapinga uwepo Wa katiba, anajaribu kujenga hoja kwamba sio ya muhimu kuliko kila kitu kama tunavyo aminishwa na Mboye, ambaye naona amefanikiwa kukuaminisha pia na ww
Kitendo cha kusema Uingereza haina katiba ni upotoshaji tayari, huyu Kabudi amepotoka
 
Prof. Kabudi is treading his path very carefully and cautiously. Yeye sasa ni waziri kwa hiyo lazima kulinda serikali yake ambayo hata yeye anaijua kuwa ni erratic na imekuwa na kauli tata kuhusu katiba mpya. Prof amekwepa kujibu hoja za Lissu kwa sababu zina msingi. Badala yake akatafuta mambo mengine ya kuzungumzia akajikuta Israel, UK na kwingine ambako hakukusudia kama hili la kwamba katiba mpya is not everything! Lakini yote kwa yote uteuzi wake hauwezi kuwa bure na yeye anaamini hivyo. Isitoshe hata ndani ya ccm sasa wameongezeka sana watu wanaotambua umuhimu wa katiba mpya. What with ever rising arbitrariness! Mungu ametuonyesha kuwa salama yetu ni katiba nzuri; siyo chama wala rais mzuri.
 
Back
Top Bottom