Uingereza na Israel hawana katiba sisi mishipa ya shingo inatutoka

Kaka acha upuuzi, kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Mimi sio mhaya.

Tatizo lenu mnalolijua nyinyi ndio sheria, that is wrong. Jifunzeni kuyapokea maoni yasiyofanana na ya kwenu.
Tunayapokea sana. Lakini Professor mzima unatuambia kuwa Uingereza haina Katiba, tutakukatalia, tena sana. Tumesoma haya mambo tena kwa sana tu. hata wewe soma tu utayajua. Ukiwa na nia utayajua. Equation kama hii inaweza kukupa taabu kidogo maana it is too abstract to comprehend!
upload_2017-4-26_20-6-51.png

Lakini hii ukiwa na nia utaelewa:

Britain’s unwritten constitution

Unlike most modern states, Britain does not have a codified constitution but an unwritten one formed of Acts of Parliament, court judgments and conventions. Professor Robert Blackburn explains this system, including Magna Carta’s place within it, and asks whether the UK should now have a written constitution.

For most people, especially abroad, the United Kingdom does not have a constitution at all in the sense most commonly used around the world — a document of fundamental importance setting out the structure of government and its relationship with its citizens. All modern states, saving only the UK, New Zealand and Israel, have adopted a documentary constitution of this kind, the first and most complete model being that of the United States of America in 1788. However, in Britain we certainly say that we have a constitution, but it is one that exists in an abstract sense, comprising a host of diverse laws, practices and conventions that have evolved over a long period of time. The key landmark is the Bill of Rights (1689), which established the supremacy of Parliament over the Crown following the forcible replacement of King James II (r.1685–88) by William III (r.1689–1702) and Mary (r.1689–94) in the Glorious Revolution (1688).

From a comparative perspective, we have what is known as an ‘unwritten constitution’, although some prefer to describe it as ‘uncodified’ on the basis that many of our laws of a constitutional nature are in fact written down in Acts of Parliament or law reports of court judgments. This aspect of the British constitution, its unwritten nature, is its most distinguishing characteristic.

Should the UK have a written constitution?
The question then arises in this 800th anniversary year — should the UK now take steps to codify all its laws, rules and conventions governing the government of the country into one comprehensive document, ‘a new Magna Carta’? The case for a written UK constitution has been debated at our universities and by politicians of all parties for several decades and has been the subject of a House of Commons committee inquiry during the 2010–15 Parliament. If a written constitution for the future is to be prepared, it must be one that engages and involves everyone, especially young people, and not simply legal experts and parliamentarians. Some of the mystique and charm of our ancient constitution might be lost in the process, but a written constitution could bring government and the governed closer together, above all by making the rules by which our political democracy operates more accessible and intelligible to all.
 
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.

Ameongea mengi lakini yaliyonigusa zaidi ni pale aliposema kuwa Israel na Uingereza hawana katiba zilizoandikwa ambazo wanazotumia kama rejea halisi ya uongozi wa mataifa yao.

Mheshimiwa Kabudi akaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa Zanzibar kuanzia mwaka 1964 mpaka mwaka 1979 haikuwa na katiba yoyote ile ya maandishi.

Maisha ya kisiasa ya Israel na Uingereza yanakwenda kama kawaida, wao wanazo mila na desturi ambazo kwa umoja wao wamekubaliana ndizo ziwe mwongozo wa kisiasa na kijamii. Hapa Tanzania wajuaji wanajaribu kila kukicha kutuambia kwamba bila ya katiba mpya basi maisha ya taifa yanakuwa na matatizo!.

Gwiji wa sheria labda kasahau kuiongelea Rwanda ambayo tangu Kagame aingie madarakani imekuwa ikizidi kujijengea heshima kimataifa pasipo kuweka msisitizo kwenye masuala ya katiba mpya.

Profesa Kabudi akaieleza jamii yetu kwamba hata huo utungwaji wa katiba yetu uliofanywa kwa mara ya kwanza na Waingereza, ulifanyika katika mtazamo wa dharau ndani yake!. Kwamba tuwaandikie hawa jamaa taratibu za kiutawala kwani wao wenyewe hawawezi kujiandikia.

Maana yake ni kwamba kadri taifa linavyozidi kukua kiumri na kupata watu wenye uwezo wa kuhoji kwa kina juu ya maisha yao ya kila siku, ipo haja ya kuipitia kwa undani hata katiba hii ambayo imejaa chembechembe za ukoloni.

Pia profesa Kabudi kaongelea namna ambavyo mheshimiwa rais asivyofunga safari za nje za mara kwa mara, sawa sawa na maoni ya wananchi wakati wa upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Warioba.

Lipo fundisho kubwa kupitia namna ambavyo mheshimiwa waziri wa sheria Prof Kabudi alivyoongea bungeni, nalo ni kwamba wanaharakati wetu wanayo tabia ya kufaidika na jamii pana kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu masuala ya katiba. Labda hufanya hivyo kwa nia binafsi lakini watambue kwamba wanachokiongea sio sawa na maneno ya kwenye misahafu.

Israel na Uingereza hawajaweka mkazo kwenye katiba zilizoandikwa lakini maisha yanakwenda kama kawaida.
Sasa ndugu, tofauti ya wenzetu na sisi ni kuwa wenzetu wana nidhamu na mambo yao...sisi chini ya CCM tumefanywa tuishi kama masokwe,hakuna discipline...yan kiongozi hajui hata katiba aliyoapa kuilinda sasa mtu kama huyo usipomwandikia kabisa si atatuteketeza wote kwa moto ndani ya masaa 24 ya kushika madaraka? Yan hapa tu ameandikiwa na hatufahamiani, asipoandikiwa je si balaa hilo?
 
Huyu anawafanta watanzani mambumbu.kwani uingereza na israel ndio akinana tufanane katika kuongoza nchi.?Maprofesa wa bongo kama wanaumwa degedege vile.
 
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.

Ameongea mengi lakini yaliyonigusa zaidi ni pale aliposema kuwa Israel na Uingereza hawana katiba zilizoandikwa ambazo wanazotumia kama rejea halisi ya uongozi wa mataifa yao.

Mheshimiwa Kabudi akaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa Zanzibar kuanzia mwaka 1964 mpaka mwaka 1979 haikuwa na katiba yoyote ile ya maandishi.

Maisha ya kisiasa ya Israel na Uingereza yanakwenda kama kawaida, wao wanazo mila na desturi ambazo kwa umoja wao wamekubaliana ndizo ziwe mwongozo wa kisiasa na kijamii. Hapa Tanzania wajuaji wanajaribu kila kukicha kutuambia kwamba bila ya katiba mpya basi maisha ya taifa yanakuwa na matatizo!.

Gwiji wa sheria labda kasahau kuiongelea Rwanda ambayo tangu Kagame aingie madarakani imekuwa ikizidi kujijengea heshima kimataifa pasipo kuweka msisitizo kwenye masuala ya katiba mpya.

Profesa Kabudi akaieleza jamii yetu kwamba hata huo utungwaji wa katiba yetu uliofanywa kwa mara ya kwanza na Waingereza, ulifanyika katika mtazamo wa dharau ndani yake!. Kwamba tuwaandikie hawa jamaa taratibu za kiutawala kwani wao wenyewe hawawezi kujiandikia.

Maana yake ni kwamba kadri taifa linavyozidi kukua kiumri na kupata watu wenye uwezo wa kuhoji kwa kina juu ya maisha yao ya kila siku, ipo haja ya kuipitia kwa undani hata katiba hii ambayo imejaa chembechembe za ukoloni.

Pia profesa Kabudi kaongelea namna ambavyo mheshimiwa rais asivyofunga safari za nje za mara kwa mara, sawa sawa na maoni ya wananchi wakati wa upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Warioba.

Lipo fundisho kubwa kupitia namna ambavyo mheshimiwa waziri wa sheria Prof Kabudi alivyoongea bungeni, nalo ni kwamba wanaharakati wetu wanayo tabia ya kufaidika na jamii pana kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu masuala ya katiba. Labda hufanya hivyo kwa nia binafsi lakini watambue kwamba wanachokiongea sio sawa na maneno ya kwenye misahafu.

Israel na Uingereza hawajaweka mkazo kwenye katiba zilizoandikwa lakini maisha yanakwenda kama kawaida.
Wwe jamaaa hauko serious kutokuwa na katiba hamna shida ila nani alikwambia hawana sheria zinazowaongoza??? Hao majaji mahakamani wanatumia nini kuamua miongozo ya sheria??? Alichosema kabudi hawana katiba ilioandikwa but kuna miongozo ya kisheria which act as an alternative ssa msikae mkapotosha watu as if huko uingereza hakuna chochote kinachosimamia miongozo ya jinsi nchi inavyoendeshwa

Pia hata kma wangekuwa hawana hamna shida ila je kma unayo na ni mbovu kuna shida ukitaka kubadilisha??? Yaani unajustify wwe ukiwa una mke anayekusumbua kwa mfano wa jirani ambaye hana mke??? Eti usilalamike mkeo kukutesa maana eti jirani yako hana mke??? Does it make sense???
 
Kaka acha upuuzi, kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Mimi sio mhaya.

Tatizo lenu mnalolijua nyinyi ndio sheria, that is wrong. Jifunzeni kuyapokea maoni yasiyofanana na ya kwenu.
Angalia ulivyoshambuliwa, siyo kuwa hawa wote wana chuki hapana. Wanashangaa unashabikia upuuzi eti kwa vile yuko CCM! It is strange kuwa Professor wa sheria anasema upuuzi kama huo! Ameshakuwa mfumo wa CCM!
CCM ikifanya mema nitaiunga mkono, CDM ikifanya mema nitaiunga mkono, ACT ikifanya mema nitaiunga mkono!
 
Sasa ww ni muingereza au muisrael?? Acheni mapepo basi nyie watu mbona Mungu aliwaumba vizuri tuu, hicho kichaa mnakitoa wapi?
 
Kukosa kwao katiba hakumaanishi hakuna sheria, lakini pia wenzetu wana displine, anafundisha kua na displine toka huko chini, kuheshimu haki za binadam, kuheshimu misingi ya demokrasia nk, haiwezi kutokea mtu akatokea tu huko alikotoka amevuta bangi akaleta mambo yake nje ya misingi ya taifa.

Kwa nji zetu masikini na tabia yetu ya kutoheshimu sheria na misingi ya taifa ni vigumu kuendelea, hebu fikiri leo Tanzania hatuka katiba ingekuaje, hapa tu mambo yako hovyo watu hawataki kushauriwa wala kupangiwa katiba ipo, je isingekuwepo si ndio ingekua balaa.

Katiba inahitajika kudhibiti watu wasiendeshe nchi kwa matakwa yao na kwa kutumia hisia zao.

Mwenzetu mbona una matusi namna hii, discipline toka huko chini? Wacha kutukana wenzako tafadhali.
 
Uingereza na Israel hawana rais wala makamu wa rais, Kwa hiyo na sisi tufute hivyo vyeo tuwe na waziri mkuu tu na ikiwezekana tuwe na malkia au mfalme.
 
Nyinyi msiokuwa mabashite mmekumbushwa kuwa zipo nchi ambazo zinaendeshwa kwa mila na desturi pasipo kuwepo haja ya maandishi. Tatizo ni lile lile la kukaririshwa mambo na nyinyi mkayachukua kama mlivyoyasikia.
Narudia tena acha Ubashite, usiwe kama kasuku kwasababu kasema Profesa. Rudia kusoma nilichoandika.
 
Angalia ulivyoshambuliwa, siyo kuwa hawa wote wana chuki hapana. Wanashangaa unashabikia upuuzi eti kwa vile yuko CCM! It is strange kuwa Professor wa sheria anasema upuuzi kama huo! Ameshakuwa mfumo wa CCM!
CCM ikifanya mema nitaiunga mkono, CDM ikifanya mema nitaiunga mkono, ACT ikifanya mema nitaiunga mkono!
Kushambuliwa sio hoja mkuu, inategemea na hao washambuliaji wana uelewa kiasi gani au wana msimamo upi kwenye masuala mbalimbali.

Ujumbe wa Prof Kabudi umeeleweka vyema kabisa.
 
Mheshimiwa Waziri wa sheria ameongea mengi wakati akitoa hotuba ya majumuisho ambayo huwa ni majibu na maelezo kwa yale yote yanayokuwa yameulizwa au yanawatatiza wabunge.

Ameongea mengi lakini yaliyonigusa zaidi ni pale aliposema kuwa Israel na Uingereza hawana katiba zilizoandikwa ambazo wanazotumia kama rejea halisi ya uongozi wa mataifa yao.

Mheshimiwa Kabudi akaenda mbali zaidi na kuelezea kuwa Zanzibar kuanzia mwaka 1964 mpaka mwaka 1979 haikuwa na katiba yoyote ile ya maandishi.

Maisha ya kisiasa ya Israel na Uingereza yanakwenda kama kawaida, wao wanazo mila na desturi ambazo kwa umoja wao wamekubaliana ndizo ziwe mwongozo wa kisiasa na kijamii. Hapa Tanzania wajuaji wanajaribu kila kukicha kutuambia kwamba bila ya katiba mpya basi maisha ya taifa yanakuwa na matatizo!.

Gwiji wa sheria labda kasahau kuiongelea Rwanda ambayo tangu Kagame aingie madarakani imekuwa ikizidi kujijengea heshima kimataifa pasipo kuweka msisitizo kwenye masuala ya katiba mpya.

Profesa Kabudi akaieleza jamii yetu kwamba hata huo utungwaji wa katiba yetu uliofanywa kwa mara ya kwanza na Waingereza, ulifanyika katika mtazamo wa dharau ndani yake!. Kwamba tuwaandikie hawa jamaa taratibu za kiutawala kwani wao wenyewe hawawezi kujiandikia.

Maana yake ni kwamba kadri taifa linavyozidi kukua kiumri na kupata watu wenye uwezo wa kuhoji kwa kina juu ya maisha yao ya kila siku, ipo haja ya kuipitia kwa undani hata katiba hii ambayo imejaa chembechembe za ukoloni.

Pia profesa Kabudi kaongelea namna ambavyo mheshimiwa rais asivyofunga safari za nje za mara kwa mara, sawa sawa na maoni ya wananchi wakati wa upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Warioba.

Lipo fundisho kubwa kupitia namna ambavyo mheshimiwa waziri wa sheria Prof Kabudi alivyoongea bungeni, nalo ni kwamba wanaharakati wetu wanayo tabia ya kufaidika na jamii pana kutokuwa na taarifa nyingi kuhusu masuala ya katiba. Labda hufanya hivyo kwa nia binafsi lakini watambue kwamba wanachokiongea sio sawa na maneno ya kwenye misahafu.

Israel na Uingereza hawajaweka mkazo kwenye katiba zilizoandikwa lakini maisha yanakwenda kama kawaida.
Wewe mwehu Uingereza na Israel wanazo sheria zinazowaongoza ila haziitwi Katiba, zinaitwa CONSTITUTION, mwehu wewe na huyo anaejiita Profasor Kabudu, oh sorry kumbe ndio hawa maprofasor wetu wa Kibongo nilisahau Lipumbavu.
 
Mwehu wewe uliyerukia treni kwa mbele. Aliyekwambia kwamba kilichosemwa bungeni ndio hitimisho ni nani?.
 
Kushambuliwa sio hoja mkuu, inategemea na hao washambuliaji wana uelewa kiasi gani au wana msimamo upi kwenye masuala mbalimbali.

Ujumbe wa Prof Kabudi umeeleweka vyema kabisa.
Ukingagania kuwa 1+1=1 katika natural mathematics, tutakushangaa unless is matrimonial mathematics!
 
Wewe mwehu Uingereza na Israel wanazo sheria zinazowaongoza ila haziitwi Katiba, zinaitwa CONSTITUTION, mwehu wewe na huyo anaejiita Profasor Kabudu, oh sorry kumbe ndio hawa maprofasor wetu wa Kibongo nilisahau Lipumbavu.
Wewe na prof wa sheria nani anayeyajua masuala ya kisheria?. Huo ndio upuuzi wa vijana wengi wa kisasa, vijana wa mwendokasi, uelewa mdogo halafu juhudi za kuukuza na zenyewe ni ndogo sana.
 
Silipwi hata senti tano, ni kugawa bure ninachokifahamu kwa wengine.
Ndugu yangu Phillipo, ninakuomba tena sana, haraka sana achana na kueneza hayo unayoyagawa bure, kabla hujawaambukiza vijana wetu chipukizi hayo maradhi ya ujinga uliyonayo.

Ndio maana hulipwi hata senti moja, kwa unasambaza udenda
 
Back
Top Bottom