Uingereza inafikiria kumpa kazi mwanamke kuinoa timu ya taifa ya wanaume

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Baada Ya kuipa mafanikio timu ya taifa wanawake ya uingereza kwa kuiwezesha kutwaa mataji ya ulaya na kufikia hatua ya fainali kombe la dunia, uingereza inafikiria kumpa kazi ya kuinoa timu ya taifa ya wanaume mwanamama sarina wiegman.

hiyo ni ikiwa kocha wa sasa bw.southgate atastaafu au atakapomaliza mkataba wake.

hayo ni kwa mujibu wa mtendaji mkuu wa chama cha soka cha uingereza, FA bw. Buckingham.

source: espn
 
Kwamba wanafananisha ushindani wa mpira wa wanaume na wanawake.anyway nisiseme sana maana ya uku kwetu yenyewe yanatushinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom