Hahah angalau kuna mtu ameanza kuwashtukia Waingereza, hawa jamaa ni wazuri sana kwa media, ukisikiliza media zao utafikri Dunia nzima imeanzia na kuishia kwao kumbe fiksi tupu, sasa wanaabika balaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.