super thinker
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 370
- 109
Hi ni kwao wote wenye tamaa ya kufa kwa hiki chama,
Sisi kama wafuatiliaji wa mambo yatokeayo kwa umakini na uweledi wa hali ya juu, tuna imani kuu na viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo katika wafanyayo, najua kama wewe ni kati ya watu wanaotamani chama hiki kife unatambua wazi kwamba safu ya uongozi kwenye hiki chama ni imara hakuna, kimoyo moyo unakubali na najua hata unatamani kingekamata nchi.
Ni watu wanaofanya mambo kwa umakini na uweledi uliotukuka katika kila nyanja ya kiuongozi wa kisiasa.
Histry tells a lot on the strength ya viongozi hawa na haina haja ya kuanza kuelezea hapa. Sio tu safu ya juu ya uongozi, hata wanachama wake "kwa asilimia kubwa" ni watu makini, wasioyumbishwa na wanaofanya maamuzi baada ya upembuzi yakinifu wa mambo, pole yao wanaohisi kuna kufa kwa hiki chama hata siku moja.
Lengo si kukiangusha "the green" but kuwa na ukombozi wa 2 wa mtanzania na ukombozi huo unaanza na kukiangusha hiki kilichopo sasa madarakani.
Ushauri
Kama watanzania, tuyafanye maisha yetu yawe na tendency ya kufanya maamuzi baada ya kuwaza kiundani kidogo, na si kukurupuka,kurubuniwa au kudanganywa. Kama ni msomi, usiidharau elimu yako kwa kutetea issues zibomoazo nchi, kuwa na msimamo katika kuchambua national events na kuwa stable katika kuconclude, kamwe usiupambe uongo ama kuufukia ukweli, kwa njia hiyo unaikalia elimu yako na utashi ulio nao unless hauithamini.
Nalink uimara wa kisomo, si kisomo tu, na utashi ulio nao na uimara wa viongozi wa chadema kwani wafanyayo ni wazi yanatakiwa kuwa supported, na mtu yoyote afanyaye visivyo waziwazi kama yatokeayo sasa achukuliwe hatua stahiki bila kujali uimara wake katika chama na nchi kwa ujumla. Thats the spirit ya mtu yoyote mwenye msimamo. Mke hawezi kukucheat kwenye ndoa mara kadhaa, ukapata tetesi, ukaconfirm then ukamvumilia tuuuuuuuu, unafuga chatu atakayekumeza any time.
Chadema songa mbele, tuchambuao mambo kwa umakini na uimara tuko nyuma yenu na tunajua mnatambua hilo na ndo maana mnatoa maamuzi yanayoweza kuonekana sio lakini mnajua watu wapo nyuma yenu na ni watu makini.
Peoples' power - Nguvu ya uma daima