Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Naam niko huku kanda ya kaskazini.
Niko ofisi fulani hivi! Nashangaa wingi wa vijana nikajiuliza kulikoni! Eti wanajiandikisha kuwa waigizaji! Loh tena wanalipa ada ya kujiandikisha! Shs kila mtu 20,000. Hivi huu uigizaji unalipa sana sio ama ni nini sasa.
kaka hapa ni jukwaa la siasa usituletee upupu wako watu tuna machungu na unyanyasaji unaotoke mbeya na sehemu nyingine tanzania
wengi ni wa jinsi gani hebu tujuze!
bwana we!Ooooooooooooh Kumbe HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO ni jukwaa la siasa. Poole sana kwa uchovu.
wakike mkuuwengi ni wa jinsi gani hebu tujuze!
WEMA SEPETU Alidai toka 2008 kaigiza filamu 10, na kumuingizia jumla ya milioni 25, sa piga hesabu ka zinalipa au la..
WEMA SEPETU Alidai toka 2008 kaigiza filamu 10, na kumuingizia jumla ya milioni 25, sa piga hesabu ka zinalipa au la..