Uhusiano wangu kiroho na race ya kizungu, nahisi mimi ni mmoja wao

Zee Korofi

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,612
1,410
Nimezaliwa familia ya kawaida tu, sio ya kishua saaaaaana. Kifupi tangu nimeanza form one nilikuwa nawa admire sana Wazungu, saaaana.

Kwa kweli hata maisha yangu yalisadifu kwani hata watu waliniambia maneno kuwa nipo kama mzungu, nina mambo ya kizungu n.k

Hata katika mahusiano niliyapeleka kitaalam kiasi cha kumshangaza kila niliye date naye.

Kimuonekano mimi ni mwembamba kiasi, mrefu sio sana ila nipo kundi la warefu, mweupe kiasi. Nina sura ndefu na nyusi zilizokuwa kama zimechongwa vizuri.

Kifupi mpaka naanza advance nikagundua kuwa maumbile yangu yamefanana sana na Wazungu.

Moyoni nahisi ni ndugu zangu, kwani naendana nao kwa vingi sana, saaaaanaa.

Huwa kuna hisia fulani nai feel nikimuona Mzungu, ni kama tuna muunganiko wa kiroho hivi.

Yaani naona kama nimemuona ndugu yangu, mpaka nastaajabu.

Na katika Wazungu niliofanana nao ambao wengi walikuwa wakinitania ni D Trump.

Bado naendelea kujitafuta nijue kuna nini nyuma ya pazia. Mimi wazee walizaliwa Maputo, Mozambique so huenda nina damu ya kizungu huwezi jua.

Kwa kweli nataka kufahamu hili,

Mshana jr
 
Kwani wazungu wakoje ukiachana na rangi yao?
Muonekano wao unafanana vipi?
Wanaongeaje?
Yani Kwa ufupi wakoje wakoje hasa mpaka wewe unafanana nao na si kuwa pengine labda unafanana na babu yake na babako mzazi babu yake halafu babu yako mzaa baba yako?
 
Huenda, nafikiri unajua. Kimuonekano na kitabia.
 
Nimezaliwa familia ya kawaida tu, sio ya kishua saaaaaana. Kifupi tangu nimeanza form one nilikuwa nawa admire sana Wazungu, saaaana.

Kwa kweli hata maisha yangu yalisadifu kwani hata watu waliniambia maneno kuwa nipo kama mzungu, nina mambo ya kizungu n.k

Hata katika mahusiano niliyapeleka kitaalam kiasi cha kumshangaza kila niliye date naye.

Kimuonekano mimi ni mwembamba kiasi, mrefu sio sana ila nipo kundi la warefu, mweupe kiasi. Nina sura ndefu na nyusi zilizokuwa kama zimechongwa vizuri.

Kifupi mpaka naanza advance nikagundua kuwa maumbile yangu yamefanana sana na Wazungu.

Moyoni nahisi ni ndugu zangu, kwani naendana nao kwa vingi sana, saaaaanaa.

Huwa kuna hisia fulani nai feel nikimuona Mzungu, ni kama tuna muunganiko wa kiroho hivi.

Yaani naona kama nimemuona ndugu yangu, mpaka nastaajabu.

Na katika Wazungu niliofanana nao ambao wengi walikuwa wakinitania ni D Trump.

Bado naendelea kujitafuta nijue kuna nini nyuma ya pazia. Mimi wazee walizaliwa Maputo, Mozambique so huenda nina damu ya kizungu huwezi jua.

Kwa kweli nataka kufahamu hili,

Mshana jr
Ulishagundua kitu chochote kwanza.
 
Back
Top Bottom