Uhusiano wa Viganja na Mapenzi.

Loli

Senior Member
Oct 17, 2012
176
71
Habari za muda huu wana jf? Swali langu linawahusu wote ila hasa Wanaume, ivi ni kwanini wanaume wanapenda kusalimia kwa kumpa mkono mwanamke? Na je kuna uhusiano gani kati ya Mapenzi na UGUMU ama ULAINI wa mikono ya Mwanamke? Tueleweshane, Tusishambuliane kwa maneno. Thanx..
 
Una maanisha wanawake huwa hawatoi mkono wakati wa salamu au?
Maana sidhani kama kuna sheria ya kusalimiana kwa njia ya kushikana viganja labda huko uarabuni, ghuba ya uajemi na nchi nyingine zenye msimamo mkali wa sharia.
 
Kama ilivyo nyayo na ardhi ndio ilivyo viganja vya mwanamke dhidi ya vile vya mwanaume, naweza nikawaondoa wale
akina mama wakulima na wabanja kokoto lakini wakati mwengine hata wao pia wanaleta hisia!!!
 
ugumu na ulaini wa mikono haina uhusiano na mapenzi ndugu....ni maumbile ya mtu+kazi afanyazo.....
Ukiwa mkulima lazima mikono iwe mihumu, ukiwa mchezea peni na keyboard mikono itakuwa softiiiiiii

by the way swali lako la kwanza nimeshindwa kulijibu, kwa sababu MWANAUME mimi napenda kusalimiana na wadada kwa style ya kuwakumbatia ili nipate joto joto lile
 
Habari za muda huu wana jf?
Swali langu linawahusu wote ila hasa Wanaume, ivi ni kwanini wanaume
wanapenda kusalimia kwa kumpa mkono mwanamke? Na je kuna uhusiano gani
kati ya Mapenzi na UGUMU ama ULAINI wa mikono ya Mwanamke? Tueleweshane,
Tusishambuliane kwa maneno. Thanx..

kwani wewe viganja vyako ni lain au vikavu?na kama wewe ni man eleza vya wife wako.
 
mmh... Sioni uhusiano kati yao.. Kusalimiana kwa mikono ni nzuri ila kuna wanaume wengine wana kale katabia kakukwaruzia kidole kati kati ya kiganja chako...jamani wananikera mimi.
 
viganja na mapenzi!let me think!
pengine kwa kuwa viganja ndo vina kazi nyingi sana eneo la tukio so mtu anajikuta tu ako interested na viganja
ah mi sijui bana!
au unataka kusema kale kamchezo ka wanaume kukunja kidole ili wakupapase katikati ya mkono!hivi bado ipo hii?wanaume wa enzi zetu ndo walikuwa wanafanya haya makitu sijui siku hizi!
 
Asanteni kwa majibu yenu, Mimi nlichokuwa namaanisha hasa ni kwamba Endapo mwanamme amekusalimia kwa kushika Kiganja chako, HARDNESS au SOFTNESS yaweza kuwa kigezo cha yeye kufall in Love with you??
 
...mleta mada inaelekea ushaingizwa mjini na waganga wa 'kusafisha nyota na kuharakisha ndoa'
Wajinga ndio wanaoliwa.
 
Asanteni kwa majibu yenu, Mimi nlichokuwa namaanisha hasa ni kwamba Endapo mwanamme amekusalimia kwa kushika Kiganja chako, HARDNESS au SOFTNESS yaweza kuwa kigezo cha yeye kufall in Love with you??

Sina uhakika sana,ila kuna wanaume utawasikia wanasema eti nilipokusalimia nilipata kama electric shock sababu ya softness ya mikono yako..# chezea kuimbisha.
 
mi napenda nitekenywe nikiwa nasalimiana kwa kushikana mikono. Napata kijijoto na msisimko wa kipekee sana.
 
ugumu na ulaini wa mikono haina uhusiano na mapenzi ndugu....ni maumbile ya mtu+kazi afanyazo.....
Ukiwa mkulima lazima mikono iwe mihumu, ukiwa mchezea peni na keyboard mikono itakuwa softiiiiiii

by the way swali lako la kwanza nimeshindwa kulijibu, kwa sababu MWANAUME mimi napenda kusalimiana na wadada kwa style ya kuwakumbatia ili nipate joto joto lile

Hahahaaa! Wapenda joto joto wewe?
 
mi napenda nitekenywe nikiwa nasalimiana kwa kushikana mikono. Napata kijijoto na msisimko wa kipekee sana.

Hahahaa! Akikutekenya kimahabat mpaka ukasisimka si akikuimbisha kiduchu tu ushakubali??
 
Back
Top Bottom