Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,789
- 10,844
Wanakushtukia ww, sio wanajishtukia [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kuuumbeee ndo maana wananionaa hiiiviii,honestly hata madem mwenyew nikiwatongozaga nashangaa "mh umenipenda kweli?" Kumbe huwa wanajishtukia! Aiseee honestly wakati mwingne najali ngunga kwanza dear madem.