Uhusiano wa usiku na kifo

Uhusiano wa usiku na kifo

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
8,132
Reaction score
5,807
Wakuu, amani iwe kwenu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa nikijiuliza ni kwanini watu wengi hasa wagonjwa waliolazwa mahospitalini hufariki usiku na sio mchana?

Karibuni tushirikishane mawazo.
 
usiku kuna giza sana,kwa hiyo mtoa roho hupitia hata roho zisizohusika,haoni vizuri.
Yaani ni mara chache sana kusikia mgonjwa aliyelazwa hospital amefariki mchana
 
Mkuu sababu ya wagonjwa kufariki usiku ipo kisayansi kabisa , kwa kuwa wagonjwa wengi wanaofariki muda wa usiku huwa wamedhoofu na mifumo yao ya upumuaji huwa imezidiwa katika kuchuja hewa chafu na safi (O2 na CO2). Hivyo basi kwa kuwa usiku huwa hakuna hewa ya Oxygen ya kutosha kama ilivyo kwa muda wa mchana kwani muda wa mchana (day time) mimea huvuta CO2 katika kujitengenezea chakula chake na hutoa Oxygen ambayo wanyama akiwemo binadamu huitumia. Wakati wa Usiku (no Sun light) mimea hutumia oxygen na kutoa CO2 hivyo kufanya hewa ya Oxygen kupungua na kusababisha wagonjwa hasa wale waliodhoofu kukosa hewa ya O2 kwa kiwango husika hivyo kufa.
 
ndo mida ya kazi ya wanga..
maana wengine huwa hawaumwi kawaida
wanakua wamerogwa
mimi rafiki yangu aliugua akawa anakimbizana na wanga usiku mzima
wakampeleka kwa hodi ya vichaa!
 
ndo mida ya kazi ya wanga..
maana wengine huwa hawaumwi kawaida
wanakua wamerogwa
mimi rafiki yangu aliugua akawa anakimbizana na wanga usiku mzima
wakampeleka kwa hodi ya vichaa!
Aisee,hatari sana
 
ndo mida ya kazi ya wanga..
maana wengine huwa hawaumwi kawaida
wanakua wamerogwa
mimi rafiki yangu aliugua akawa anakimbizana na wanga usiku mzima
wakampeleka kwa hodi ya vichaa!
Hodi=wodi
 
Hata vibaka wanaochana nyavu za madirisha temeke na kuiba walet na simu ni usiku.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom