UHUSIANO WA SMART PEOPLE AND GAYISM.

UHUSIANO WA SMART PEOPLE AND GAYISM.

padlock

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
329
Reaction score
509
Katika Rough Research ya Almost two years 2017-2018 upon the street, nimeweza kung'amua ya kuwa Asilimia kubwa ya Gays ni Smart People, Nikimaanisha ya kuwa Mashoga wengi ni watu walio Msmart kuanzia upstairs, mwonekano na hata Tabia,
Ni watu wenye heshima zao na maisha yao ila upande wa pili wa miili yao umeshipigiwa Backvocal nyingi na Behind the Scene nyingi sana. Na katika Tafiti (Japo sio Rasmi) wengi wa hawa Smart people ni watu wenye positivw mind ktk mambo mengi ya kimaendeleo ila ktk suala la Mahusiano ndio wako kinyume nyume.
Nimeshashuhudia baadhi ya My collegues pia waki fall ktk hii Trap angali najiuliza wana maisha yao na misingi mizuri ktk maisha yao na walikuwa Wacha Mungu kweli kweli (and they still do) but in Reality they are Gays tena wanafurahia michezo hiyo. Its Not funny but nkawa najiuliza Why Most Gays are Smart people, kwann??
NB; Wengi nliokutana nao si kwamba wana ugumu wa maisha ila ni watu wanaopenda kufanya tabia hizo kama Kiburudisho cha Mioyo yao.
NINACHO DOUBT THERE IS A BIG MISTAKE KTK MAKUZI YA WATOTO WAKIWA WADOGO, SOUNDS LIKE WANAAMKA NA KUZALIWA NA AIDHA ABDORMAL HORMONAL INBALANCE AMBAPO HUPELEKEA HORMONE FULANI KUDOMINATE NYINGINE (asa apa ni jukumu la mzazi kujua ana rescue vipi hili Tatizo) Na pili kuyajua na kutambua maxingira ya Urafiki wa watoto wako na wenzake, nikimaamisha Tabia na Family Background za Marafiki wa Watoto wako aidha kupitia ndugu wa Marafiki wa mtoto wako au kwa njia ambayo itakupa majibu kuwa Mtoto wako ana Marafiki walio Safi n Salama.
 
Back
Top Bottom