Uhusiano wa ndoto za Nywele na kesho yako

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
Mama mmoja aliota Ndoto akasema aliota Ndoto MTU anamfumua nywele zake na anasema nywele zake alikuwa amesuka hata wiki hajamaliza na hakuwa na mpango wa kufumua nywele zake akawa anaulizia maana yake nini?

Mfano wa Kwanza
Nywele maana yake ni kitu kinachokupa thamani Kwa hiyo ukiota Ndoto nywele zinafumuliwa Kabla ya wakati wake inamaana kuna kitu cha thamani kwako kinakwenda kuondolewa au kushitishwa kabla ya wakati wake

Mfano kama ni Kiongozi unajulishwa kwamba nafasi yako ya uongozi ambayo inakupa thamani inakwenda kuondolewa au kukatishwa kabla ya wakati wako au ndani ya kipindi kifupi cha utawala au cheo chako

Wimbo Ulio Bora 7:5 Kichwa chako juu yako ni kama Karmeli, na nywele za kichwa chako kama urujuani, Mfalme amenaswa na mashungu yake.

Mfano wa Pili
Mwanafunzi mmoja alisema aliota Ndoto anayolewa nywele na kesho yake asubuhi akakuta nywele zimenyolewa kichwani kwake na anasema tangia hapo masomo yake yameshuka

Maana yake
Kuota unanyolewa nywele maana yake unaondolewa kitu cha thamani kama ni mwanafunzi maana yake unaondolewa uelewa ili unaposoma usipate kuelewa

Waamuzi 16:19 Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.

Maana ya pili
Kuota unanyolewa nywele maana yake unaondolewa ulinzi WA Mungu juu yako

Matendo ya Mitume 27:34 Basi nawasihi mle chakula, maana itakuwa kwa wokovu wenu; kwa maana hapana hata unywele wa kichwa cha mmoja wenu utakaopotea.

Maana ya tatu
Ukiota unanyolewa nywele maana yake unawekewa roho ya uzuni ndani yako, kuna watu baada ya kutoa Ndoto Hizi wanakuwa ni watu wa Huzuni

Yeremia 7:29 Zikate nywele zako, Ee Yerusalemu, uzitupe,
Ukafanye maombolezo juu ya vilele vya milima;
Kwa maana BWANA amekikataa na kukitupa
Kizazi cha ghadhabu yake.
 
Ulishawai kujiuliza zile nywele ambazo umenyolewa wakati umelala zimkwenda wapi na kwa matumizi gani?
 
Mimi nimeota juzi nimekua askari na cheo na v3 basi nikafika sehemu watu wananipigia saluti basi nikataka kukaa kwenye kiti kumbe kilikua na vumbi akaja dada mmoja kufuta vumbi kisha nikakaa hii ndoto inamana gani
 
Je wewe binafsi ni Askari? maana Askari Kibiblia inamaana nyingi Ila ukiwa ni Askari maana inatofautiana na ambaye sio Askari
 
Back
Top Bottom