Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
- Thread starter
- #21
yawezekana wakati anapigwa alikua analia kwa kilio cha miguno............
Kwa kweli haikuwa kilio cha miguno
yawezekana wakati anapigwa alikua analia kwa kilio cha miguno............
Kama anaweza kuambukiza kupitia majibu na huyo daktari atayefanyia diagnosis na prognosis itakuwaje?
this^He is a saddist! A psycho-macho!
this^
mtoa mada acheki link kwa maelezo zaidi. i never thought i'd see such a person here in JF
BDSM - Wikipedia, the free encyclopedia
Wewe ni mgonjwa wa akili tu. Wahi Milembe ukapate matibabu
ngoja nichukue my magnifying glass :madgrin:. i wonder if mie nimeshaonekana na people other than u and a handful others!!hapa tuko creatures wa kila aina.
Observe kwa ukaribu utagundua tu
Na sisitiza, imenitokea hata mimi nashangaa, kilio cha kipigo kimenipagawisha, moyoni naomba huyo dada aliyekuwa anapigwa anisamehe tu kwa mimi kuchukulia kipigo chake alichopata, kwangu kugeuka starehe.
Kwa kweli haikuwa kilio cha miguno
ngoja nichukue my magnifying glass :madgrin:. i wonder if mie nimeshaonekana na people other than u and a handful others!!
Ndio na mimi nimejishangaa hivyo
Imenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.
Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!
Mi nadhani labda kile kilio cha mke wa huyo jamaa alipokua akilia alihusisha kilio kile na kilio cha mwanamke wakati storongo inafanya kazi yake
"
Kuna wanawake wengine huwezi kutofautisha kilio cha kipigo na cha storongo
"
Mlio wao ni mmoja tu!
Ha ha ha ha dah nimecheka we jamaa una matatizo aiseeh,kwani mjomba una muda gani sasa hujatumia?kipindi kirefu kutofanya nayo inachangia kuamsha midadi pasipo weza kuzuia.ingawa inashangaza kidogo kwako inakuwaje mwanamke apigwe mingumí na makelele anayotoa ikuletee hisia