Uhusiano wa Kipigo na Msisimuko

Uhusiano wa Kipigo na Msisimuko

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
7,520
Reaction score
6,517
Imenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.

Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!
 
Nitarudi baadae ngoja nikae pembeni kwanza
 
Haaa! Hii kali..ntakuwa wa mwisho kuchangia
 
Imenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.

Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!
Wewe ni mgonjwa wa akili tu. Wahi Milembe ukapate matibabu
 
ha ha ha ha ha ha ha, utaniua kwa kucheka

kwa hiyo ukiona mwanamke kakatwa hata mkono unamaliza kabisa?
 
Hii ya leo noma. Kwa hiyo alikuwa akipigwa kofi we huku wapata raha? Baada ya kipigo kuisha ulikuwa umeshapiz?
 
ha ha ha ha ha ha ha, utaniua kwa kucheka

kwa hiyo ukiona mwanamke kakatwa hata mkono unamaliza kabisa?

Hapana, mimi nilisikia sauti tu nikiwa ndani kwangu, ningeona live akipigwa pengine ingekuwa tofauti
 
Je ulipelekwa jando ulipofikia umri wa kufanya hivyo? Je wewe unaona ni kitu cha kawaida kwa mtu wa kawaida? Je angemuua ungesisimkwaje? Je umeoa au kuolewa? Je uliwahi kumuona daktari wa akili? Je una historia ya kupatwa na maradhi ya akili? Je kuna historia ya ugonjwa wa akili kwenye familia yenu?
Imenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.

Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!
 
ha ha ha ha, ukimuuliza maswali ya msingi kama haya, atakuambukiza huo ugonjwa bure.

Naskia unasambaa kama Ebola

Je ulipelekwa jando ulipofikia umri wa kufanya hivyo? Je wewe unaona ni kitu cha kawaida kwa mtu wa kawaida? Je angemuua ungesisimkwaje? Je umeoa au kuolewa? Je uliwahi kumuona daktari wa akili? Je una historia ya kupatwa na maradhi ya akili? Je kuna historia ya ugonjwa wa akili kwenye familia yenu?
 
Je ulipelekwa jando ulipofikia umri wa kufanya hivyo? Je wewe unaona ni kitu cha kawaida kwa mtu wa kawaida? Je angemuua ungesisimkwaje? Je umeoa au kuolewa? Je uliwahi kumuona daktari wa akili? Je una historia ya kupatwa na maradhi ya akili? Je kuna historia ya ugonjwa wa akili kwenye familia yenu?

Maswali mengi mno utafikiri final exams. Nami najishangaa kwa kifupi
 
Kama anaweza kuambukiza kupitia majibu na huyo daktari atayefanyia diagnosis na prognosis itakuwaje?
ha ha ha ha, ukimuuliza maswali ya msingi kama haya, atakuambukiza huo ugonjwa bure.

Naskia unasambaa kama Ebola
 
Naomba niongezee maji kidogo!! hii kali mno!!!
 
Back
Top Bottom