Uhusiano wa Kipigo na Msisimuko

Uhusiano wa Kipigo na Msisimuko

najaribu kufikiria kama nimewahi kutana na hii hali... aisee..........................
 
hujaelezea vizuri alikuwa analiaje,pengine akipewa kichapo analia kama akiwa anagegedwa
 
Imenitokea jana, jirani yangu alikuwa anampiga mke wake, sasa wakati kipigo kinaendelea huku mke wake akilia basi mimi huku nikawa nasisimka mwili kiasi hisia za mapenzi zikawa juu kweli kweli na ile kitu imesimama mno.

Nimejiuliza sana kwamba je hisia zangu zinaunga mkono ukatili!?, na je ni mimi tu au tupo wanaume wengi wa aina hii!

Kuna msemo wa wahenga watu huwaga hawaelewi maana yake, kama ulishawahi sikia msemo "sauti ya kumtoa nyoka pangoni" ,basi huyo dada/mke ana-hiyo sauti ndio maana nyoka wako akawa anatoka kushuhudia.
 
Kuna msemo wa wahenga watu huwaga hawaelewi maana yake, kama ulishawahi sikia msemo "sauti ya kumtoa nyoka pangoni" ,basi huyo dada/mke ana-hiyo sauti ndio maana nyoka wako akawa anatoka kushuhudia.

Heee! Ama kweli! Asante kwa kunifahamisha haka kamsemo, mi mwenyewe nlikua ckaelewielewi.
 
Back
Top Bottom