Uhusiano wa kinywaji cha Amarula na nguvu za kiume

Naona kuna kaugonjwa ka kupungukiwa nguvu za kiume kanaandama taifa letu. Punguzeni beer na nyama
 
Kwanza habarini za majukumu,

Niende kwenye mada;

Wanajamvi,

Kwa aliewahi kutumia kinywaji cha amarula,kuna uhusiano wowote na nguvu za kiume? Maanake stori nyingi na wadau wakipiga stori za mtaa utasikia mtoto nilimnywea amarula nikapiga mechi mpaka hasubuhi.

Kwa waliowahi kutumia embu tupeni ukweli.

Dawa ni kuacha kula chipsi mayai
 
Wanaume wengi wanaathiriwa na kutokujiamini kwao. Kwahiyo hayo makitu wanayokula normally yanachofanya ni ku-boost confidence yao maana wanakuwa washajiaminisha kuwa hicho alichokula au kunywa kitamsaidia kuongeza nguvu zake za kiume.

Hali za maisha kiuchumi na stress mbalimbali nazo zinamchango mkubwa ambao ni HASI kwenye nguvu za kiume na hamu ya kujamiiana (hivi ni vitu viwili tofauti ingawa watu wanavichanganya) kwa wanaume. Psychological impact!!
 
Guyz mazoezi na adabu katika vyakula na vinywaji ndiyo silaha pekee ya Nguvu za kiume haya mengine ni ujanja ujanja tu! Tatizo likizidi muone dr atakupa ushauri mzuri sana na dawa gani utumie!
 
Guyz mazoezi na adabu katika vyakula na vinywaji ndiyo silaha pekee ya Nguvu za kiume haya mengine ni ujanja ujanja tu! Tatizo likizidi muone dr atakupa ushauri mzuri sana na dawa gani utumie!
Ni kweli lakini dr mwaka ci kafungiwa huduma?
 
Drkanyas herbal clinic 0744069527..mtaalamu wa tiba mitishamba asili anatibu mapungufu ya nguvu za kiume...dawa ni mitishamba hazina kemikali..mtafute kupitia 0744069527
 
Wanajamvi wakati mjadala unaendelea naomba nisaidiwe tofauti ya kuongeza "nguvu za kiume" na "hamu ya tendo la ndoa"
 
Pakitokea mtu akaanza biashara ya kuuza nguvu za kiume atapiga hela sana mana hali ya sasa si kijana wala mzee wote chali kwenye kupiga mzigo
 
Muda mwingi wa mwanadamu hasa (mwafika) hayo ndiyo mawazo yake. Ngono ngono ngono!!
 
kiboko ya kukimbia na chupi mkononi uelekeo usiofahamika ni konyagi (kasichana) proved by me
Hv kuchelewa kumwaga ndio kuea na.nguvu za kiume.....yaan Ukila konyagi n balaaa waweza piga daa moja mpk.saa sita hujamwaga manz anachoka anapumzika unaamsha tena...smtym mpk kelo nyagi wacha iitwa nyagi..........hzo amarula ,sijui nn n mbwembwe.......
 
Back
Top Bottom