Uhusiano wa kinywaji cha Amarula na nguvu za kiume

edgar90

Senior Member
Jun 18, 2016
145
116
Kwanza habarini za majukumu,

Niende kwenye mada;

Wanajamvi,

Kwa aliewahi kutumia kinywaji cha amarula,kuna uhusiano wowote na nguvu za kiume? Maanake stori nyingi na wadau wakipiga stori za mtaa utasikia mtoto nilimnywea amarula nikapiga mechi mpaka hasubuhi.

Kwa waliowahi kutumia embu tupeni ukweli.
 
Huo ni uongo mtupu.kinywaji cha amarula akina uhusiano wowote na nguvu za kiume.hayo mambo mengine ni imagination,bado watafiti wakisayansi Hawajalifanyia kazi iyo propaganda.
 
Kinywaji kifaacho zaidi ni juice ya dengu unachanganya na kuni unahifadhi kwenye betri!
 
Vijana kuleni ugali mshibe..kila kitu fanya ukiwa unajiamini..
Leo hata ungesikia mtu inasema ukinywa mkojo wa beberu utaongeza nguvu za kiume utaenda kunywa..
 
Back
Top Bottom