romaki
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 477
- 218
Habari wanajamii,
Nimekuwa nikijiuliza na pia kufanya research na kusoma mada mbalimbali kuhusu uwepo wa bendera hasa ya Marekani katika makanisa ya kilokole hasa yanayomilikiwa na watu binafsi Lkn bado sijapata jibu sahihi nini maana yake, yawezekana uwepo wa bendera ya taifa flani mahali flani ni kwamba unakubaliana na sera zote za hilo taifa?
Naomba mwenye kujua siri au maana yake halisi atufahamishe na sisi tafadhali.
Nawasilisha.