Ktk uhusiano umri si kigezo bali ni makubaliano tu. Pamoja na hayo inafaa kuendana kiumbo japo nacho si kigezo sana. Kimsingi mahusiano ni relative term wala haijalishi umri wenu. Nakomea hapa, wanaojua watachangia zaidi.
Kama ya:
1.Late W.houston na Ray J
2.Mariah Carey na Nick Cannon
3.Cellion Dion na Mme wake
4.Wema na Mr Blue
5.Shilole na Barnaba
6.Mama wa kikenya na qchillah
7.Late Aaliyah na R.kelly