miss chagga Heaven on Earth masai dada 'Valentina'
Mwanamke 'classy' akojeje. Nyie vp? Are u nt classy!?
Nilitegemea hilo swali......japo kwa upande mwingine ni rahisi kunielewa namzungumzia yupi.
Mwanamke "classy" ninayemzungumzia hapa ni yule aliyejijenga kielimu na kifedha na mwenye mtazamo wa hii kitu tunaita "feminism".
Mfano mzuri ni Chimamanda Ngozi Adiech. Huyu ni Nigerian author na feminist. Idea zake na lifestyle yake ina reflect mawazo yangu.
Je mmeelewa wadau wawili mlio uliza hapo mwanzo.
Mkuu em tutajie wabongo walau wawili tu then tuendelee.
mhhhh ao niwaoga wa maisha na wengi wao hua wanakua na sura ngumuuu so wanajificha kweny mwamvuli wakusoma na wamejijenga,,,hua wanapenda one night stand,,,kimsing they are boring
Mwelewa
una advance kifedha, kielimu kimaisha then what? the ugly truth ni kua bila ya familia huwezi pata furaha maishani, na familia haiwi bila ya ndoa, Upigwe mdushelele uzae maisha yaende.
Vinginevyo utamaliza kuhangaika mahospitalini kwa matatizo ya tumbo, mara siku haziji vizuri, mara tumbo linauma sana, mara ooh damu zinatoka nyingi.
Hayo ni maumbile mungu ndo amepanga vinginevyo ni kunywa maji ya bahari kwa kutegemea kukata kiu....:bump2:
Vipaumbele vya mwanadamu vinabadilika na lifestyle, kipato na elimu.
Dunia ya leo kuna baadhi ya watu wanaona ndoa sio kipaumbele tena.
Mwelewa
una advance kifedha, kielimu kimaisha then what? the ugly truth ni kua bila ya familia huwezi pata furaha maishani, na familia haiwi bila ya ndoa, Upigwe mdushelele uzae maisha yaende.
Vinginevyo utamaliza kuhangaika mahospitalini kwa matatizo ya tumbo, mara siku haziji vizuri, mara tumbo linauma sana, mara ooh damu zinatoka nyingi.
Hayo ni maumbile mungu ndo amepanga vinginevyo ni kunywa maji ya bahari kwa kutegemea kukata kiu....:bump2:[/QUOTE
Kuwa na family si kazima ndoa. Wangapi wanafamilia na hawakuwahi kufunga ndoa?
Mna complicate maisha. Ndoa sio kila kitu. Furaha haipatikani kwenye ndoa peke yake. Na asikwambie mtu...wenye ndoa wana stress zaidi kuliko wasiokuwa nazo. Tukisema hapa walio kwenye ndoa na wana Furaha wanyooshe mikono, Kati ya Mia utapata watano.Mwelewa