kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 753
Kifaa chochote cha kielektroniki lazima kiwe kinatumia umeme.Umeme wa simu? Una maana gani?
Hakunaga bwana umeme wa simu.
Kifaa chochote cha kielektroniki lazima kiwe kinatumia umeme.
Au ili uelewe zaidi, toa hiyo battery yako ya simu alafu ujaze makukuru kwenye hiyo sehemu uliyotoa betri kisha washa simu yako
KwakweliNgoja waje
Aliyehoji anajua unachoongea ila anakubabaisha kutakana na jinsi ulivyouliza swali.Kifaa chochote cha kielektroniki lazima kiwe kinatumia umeme.
Au ili uelewe zaidi, toa hiyo battery yako ya simu alafu ujaze makukuru kwenye hiyo sehemu uliyotoa betri kisha washa simu yako
Inaweza kuwa hatari unapokuwa sehemu wazi na isiyo na miti/majengo, mfano ukiwa baharini.Sasa je, ni upi ukweli halisia juu ya dhana hii katika maisha ya kawaida? Je ni kweli tunapaswa kuendelea kuwa na hofu hiyo au hatupaswi?
[emoji28] [emoji28] [emoji28]. Makukuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kifaa chochote cha kielektroniki lazima kiwe kinatumia umeme.
Au ili uelewe zaidi, toa hiyo battery yako ya simu alafu ujaze makukuru kwenye hiyo sehemu uliyotoa betri kisha washa simu yako
Ni mahindi yaliyochemshwa bila kukobolewaMakukuru=Makande.
Ingekuwa simu inasababisha radi hadi sasa tungeishazika watu wengi sana maana radi haitoi taarifa kuwa inakuja ili uzime simu. Unaposikia ngurumo wa radi hapo ujue tayari ilishamaliza kazi.
Ahsante mkuu nimekupata, kwa hiyo kwenye hayo mazingira yasiyo na vitu virefu radi inaweza ikamuathiri ambaye atakuwa na simu isiyozimwa si ndio....relax, aya majengo marefu unayoyaona au minara ya simu, au nguzo za umeme zile zenye msongo mkubwa, ina vuta radi iende kwao, then inatokomea ardhini, kupitia hiki kifaa Lightning Rod ( au surge arrester)
Radi ina 'hit' vitu virefu (vilivyochongoka hasahasa)
labda uwe kwenye open space kubwa na ivyo vitu(minara, gorofa,mti mrefu) viko mbali(au hakuna)
Thanks to Benjamin Franklin
Naweza nikakubaliana na hili. Maana kunabwana ali Rest in Peace akikatiza uwanja wa mpira (nadhani alikuwa akiongea na simu) maana pembeni ikiokotwa simu yake.Ahsante mkuu nimekupata, kwa hiyo kwenye hayo mazingira yasiyo na vitu virefu radi inaweza ikamuathiri ambaye atakuwa na simu isiyozimwa si ndio....
ahah makukuru ndio nini mkuuKifaa chochote cha kielektroniki lazima kiwe kinatumia umeme.
Au ili uelewe zaidi, toa hiyo battery yako ya simu alafu ujaze makukuru kwenye hiyo sehemu uliyotoa betri kisha washa simu yako
dah jf mnanifundishaga mambo mengi nawakubali sana jf members woteAliyehoji anajua unachoongea ila anakubabaisha kutakana na jinsi ulivyouliza swali.
Inaweza kuwa hatari unapokuwa sehemu wazi na isiyo na miti/majengo, mfano ukiwa baharini.