Uhuru wa simu...!

Kwani kuna nini kibaya ambacho hutaki mwenzako akione? Kama hakuna basi hiyo sio ishu.

Good NN. huwa nashangaa watu mnaoweka passworld kwenye simu zenu ili iweje? Hivi kweli una mume au mke unapassword simu? siku umekufa ghafla kila kitu kinajulikana. Jipepeleleze!
 
Good NN. huwa nashangaa watu mnaoweka passworld kwenye simu zenu ili iweje? Hivi kweli una mume au mke unapassword simu? siku umekufa ghafla kila kitu kinajulikana. Jipepeleleze!

yangu ana uhuru nayo anapeluzi kila kona, tatizo ni kufuta vilivyopo humo esp namba za cm
 
thanx kwa ushauri
 
nashukuru kwa ushauri
 
Bora uachane nae, chagua mmoja kati ya hao marafiki zako awe mpenzi wako. Wazazi wako, ndugu zko na mpenzi wko hawatoshi kuwa ndio furaha yako, bora muache, hakufai. Ungependa na yy asave namba za mademu awe anaongea ongea nao?
 
Good NN. huwa nashangaa watu mnaoweka passworld kwenye simu zenu ili iweje? Hivi kweli una mume au mke unapassword simu? siku umekufa ghafla kila kitu kinajulikana. Jipepeleleze!

Hivi mmemuelewa mtoa mada? Hajaweka password mpenzi wake anachezea simu anavyotaka tatizo ni kwamba anafuta namba bila ridhaa ya mwenye simu! Yeye anataka namba 3 tu kwenye simu: ya kwake,mama mkwe na ya baba mkwe basi!! Caroline Danzi upo tayari kwa hilo???
 
Last edited by a moderator:
Hii ni tabia ya mtu,ni wivu katika mapenzi,simu ya mkononi imefanikiwa kuwagombanisha wengi.
Liweke mezani,weka msimamo wako kuwa hufurahishwi na tabia yake hiyo,mweleze ukweli,suala la msingi ufanye hivyo kwa nia ya dhati na kwa lengo la kusaidiana,onesha msimamo wako ktk hilo,atakuelewa.
Vile vile,wote muwe huru,msitiliane mashaka kwenye matumizi ya simu zenu.
Nawasilisha!
 
sawa mkuu
 
huo wote ni ushauri tu,jitahidi kufanya atakavyo nae afanye utakavyo,kama kuna watu kwenye hiyo simu hawataki basi anazo sababu,maranyingi mnalalamika ila unakuta we watu wote unaowasiliana nao ni wavulana
 
siyohivyo mkuu, hata akikuta contact za wasichana anafuta, ingekuwa ni kwa wavulana tu wala nisinge jali sana
 
Hata kama zingekuwa ni za wanaume tu,hapashwi kuzifuta,huyo anahitaji asaidiwe,huo ni wivu tu,usio na tija yoyote...kama mnaaminiana,kila mmoja anakuwa huru kwa mwenzake...hamtiliani mashaka....nimeshashuhudia dada mmoja akiacha masomo yake,kisa amepepigiwa simu na mwanaume ya kumuuliza kuwa yuko wapi wakati wenzake wanaendea na kazi ya group...
Lazima wivu uwe na kiasi,ukizidi ni tatizo.
 
Nshawahi kuwa kwenye this kind of relationship inakera kwa kweli mtu anakufatilia ka polis umepanda daladala mtu anatumwa kwa toyo akufatilie utashuka wap' nikampiga chini.
 
Mimi nimependa tu ushauri wa Joseph ni mzuri sana!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
siyohivyo mkuu, hata akikuta contact za wasichana anafuta, ingekuwa ni kwa wavulana tu wala nisinge jali sana

Una wasi wasi gani ilimradi hatukani mtu yeye raha yake akiziscroll akaziona. Kuna kitu kimejificha hapo, si lazima utwambie lakini kuwa huru. chezea yake pia.
 
kaeni chini muyazungumze yaishe muwekane sawa, mbona suala dogo kama mtaweza kuzungumza kiutu uzima
 
uhuru ni muhimu sana kwa ustawi wa maisha yako, haulazimiki kuwa mtumwa kwa sababu wengine wanataka uwe mtumwa. Mapenzi ya kweli ni pamoja na kuthamini uhuru na privacy ya mtu mwingine, anayekupenda hawezi kukubana na kufuatilia kiasi hicho, hata kama ni wivu kufanya mambo yanayomboa mtu mwingine kwa kisingizio cha kudumisha mapenzi ni upuuzi.
huyo hakuamini hata kidogo "actions follow feelings, but really actions and feelings go together" think critically amua sasa.
 
siku nyingine chukua simu yake, delete namba zake zote kasoro yako, ya baba yake na mama yake halafu muachie. Atajifunza kuheshimu contacts zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…