Uhuru wa kiuchumi

Uhuru wa kiuchumi

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Karibuni wanawake kwa wanaume kwenye semina kubwa ya jinsi gani unaweza kupata Uhuru wa kifedha kutokana na mazingira yaliyokuzunguka.

Ni tarehe 23 May 2019 ukumbi wa Lion hotel sinza kijiweni.

Kujua muda na kupata tiketi ya kiingilio wasiliana na mimi PM
Hakuna kiingilio.

Kati ya wasemaji atakuwepo Beatrice mwalimu mstaafu na mjasiliamali

Karibuni
1572016917.jpeg
 
Wazee wa motivation.....
Haya kiingilio bei gani.......

Ova
 
Back
Top Bottom