Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
MATUMIZI ya fedha yanaongezeka kila kukicha wakati kipato chako ni kile kile, mshahara ni ule ule kila mwezi, lakini mahitaji yanaongezeka na majukumu yanaongezeka pia.
Kuongezeka kwa matumizi bila kuongezeka kwa kipato cha mtu mmoja mmoja kunaleta shida kwenye familia nyingi na kusababisha msongo wa mawazo kwa baadhi ya watu, hususan wazazi ambao wengi wao hushindwa kuhimili majukumu na wengine kujikuta wakizikimbia familia zao.
Kwa habari zaidi, soma => Uhuru wa kiuchumi hupunguza msongo wa mawazo | Fikra Pevu