Habari wakuu wanajamvi? Ningependa kujua kati ya hawa watayarishaji mziki kutoka Afrika,ni nani anayetengeneza beat nzuri kati ya Dunga Ambros wa Mandugu digital na Uhuru wa Kalawa jazmee. Na tusiongelee mafanikio ya pesa na kujulikana kwa sana bali utaalamu wa ladha tofauti. Karibuni.

Kila mmoja ana touch zake,Myself namkubali Dunga kwa beat zake na asingezidisha ulevi kipindi fulani angekuwa mbali.Maana aliitambulisha vizuri bounce sikia track ka Nipeni dili,maboo,etc zinatouch fulan isiyochuja

Na vile vibwagizo anavyoviweka kwenye beat zake zinapendeza sana. Kama Anitha ya Matonya,naona raha(sina uhakika na hili jina la nyimbo) ya MB Dog Mr. Politician na nyingine za Joh Makini.